UTAJUAJE KAMA UNA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

UTAJUAJE KAMA UNA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME


1.Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi .

2.Uume unasinyaa taratibu baada ya goli moja na kuendelea inakua ni ngumu.

3.Mwili unahisi ganzi pamoja na uume kusinyaa ukiwa kwenye tendo 

4.Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii ,ule uchangamfu unapotea kabisa.

5.Uume unasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa mwanamke unasinyaa .Hapa Wengi huhisi kwamba Wamerogwa Lakini ukweli Ni Kwamba hawajarogwa .

6.Kupoteza hamu ya tendo la ndoa baada au kabla ya tendo la ndoa 

7.kushindwa kurudia Mara ya Pili .unakuta ukishatoa Goli Mara Moja, Basi mashine inakata Moto haisimami Tena hata ufanyeje inazidi kulala.

8.Mashine kulala Ndani ya Nyeti Za Mwanamke,unakuta upo katika ya Game ,mzigo unalala ghafla na kulegea Ndani kwa Ndani.

Katika utatuzi wa tatizo hili usitumie DAWA tubia virutubisho kutatua tatizo hili kabsaa .

Maoni