MPANGILIO WA MGONJWA WA KISUKARI KUANZIA AHSUBUHI MPAKA USIKU
-Kusali, kumshukuru Mungu kwa ukuu wake kukuamsha ukiwa mzima.
-Kunywa maji ya vuguvugu kila unapoamka asubuhi ili kumaintain kiwango cha sukari na kupunguza choleztrals(Mafuta mabaya yaliyoganda)
☕BREAK FAST
Hakikisha hautumii sukari kabisa.
▪️Tumia chai yenye viungo kama:-
-mchaichai
-Karafuu
-Mdalasini
-Tangawizi
-Iliki
▪️Maziwa fesh
▪️Supu ya samaki
▪️Supu ya kuku
▪️Uji lishe mara moja kwa siku( Asubuhi) sababu inakuwa na wanga usitumie usiku
NB:Asali inayotumuka ni ya nyuki wadogo pekee na hii unatumia endapoutakuwa umeruhusiwa na doctor kulingana na level ya sukari yako.
VITAFUNWA
-Ndizi za kupikwa/ mchemsho
-Viazi mviringo vya kupika/ mchemsho
-Mihogo mchemsho vipande viwili/ vitatu
-magimbi kidogo
_Yai moja au mawili (mchemsho) ya kienyeji
-Mkate wa brown/Ata
LUNCH TIME
(Mlo wa mchana)
UGALI WA DONA
Kula kidogo tu usile mkubwa.
Tumia mboga zifuatazo:-
-Mboga za majani nyingi
-Samaki
-Nyama ya kuku
_Dagaa
-Mboga aina ya Kunde kama choroko,maharage,kunde n.k
Maziwa mtindi.
_HAKIKISHA HAUKOSI MATUNDA( PARACHICHI AU TANGO, KUNYWA MAJI PIA_
DINNER TIME
_(Mlo wa usiku)_
Hakikisha unatumia wanga laini ambayo ina wanga ya asili na ina nyuzinyuzi, hii huwa haina kiwango kikubwa cha glucose na inakaa tumboni kwa muda mrefu, pia inakukinga na ufanyaji kazi wa metabolism. Baadhi ya vyakula vya usiku ni pamoja na:-
▪️Ndizi za kupika/mchemsho
▪️Viazi mviringo vya kupika/ mchemsho
▪️Mihongo vipande viwili au vitatu
▪️Magimbi kidogo
Unaweza kuweka pia nyanyachungu, bamia,nyanya, hoho, karoti, biringanya na kitunguu
▪️Supu ya samaki
▪️Supu ya kuku
▪️Maziwa mtindi/ Fresh
MLO WA ASUBUHI NA USIKU UNAFANANA HIVYO USIJE UKAJICHANGANYA.
NB: KATIKA KILA MLO HAKIKISHA PEMBENI HUKOSI MBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA AIDHA PARACHICHI AU TANGO KUNYWA NA MAJI YA KUTOSHA.
(Usiku kabla ya kwenda kulala kunywa maji ya vugu vugu)
SIKU YAKO INAKUWA IMEISHA UKIMALIZA KILA KITU KUMBUKA KUSALI UNAPOTAKA KULALA, MSHUKURU MUNGU KWA SIKU NZIMA, AKULINDE UAMKE UKIWA MZIMA WA AFYA
NB:HII ITAKUSAIDIA KUSHUSHA SUKARII TU NA SIO KUTIBU SUKARI ILI UPONE SUKARI HAKIKISHA UNATIBU KONGOSHO NDIPO UTAPONA NA MADHARA YAKE MAANA NAKUTANA NA MASWALI YA WENGI KWA AKIBALANCE VYAKULA ATAKUA AMEPONA SUKARI MAJIBU YANGU NI HAPANA UTAKUA UMESHUSHA SUKARI TU.
Maoni