TATUA NA JIKINGE NA TATIZO LA BAWASILI BILA KUFANYIWA UPASUAJI
IJUE BAWASIRI NA TIBA YAKE
Bawasiri ni hali Kupasuka kwa mishipa sehemu ya haja kubwa, damu kuganda na kujitokeza vinyama
katika Maeneo hayo.
katika Maeneo hayo.
AINA ZA BAWASIRI
- Bawasiri ya ndani
- Bawasiri ya nje.
Bawasiri ya nje hutokea mwisho wa mfereji wa haja kubwa Mishipa ya damu (vena) hupasuka na damu kuganda, ikiambatana na maumivu makali
Bawasiri ya ndan hutokea ndan ya mfereji wa haja kubwa, hii haiambatan na maumivu. hapa wengi huwa hawajijui
DALILI ZA UGONJWA WA BAWASIRI
- Kuota vinyama sehemu ya haja kubwa
- miwasho na maumivu sehemu ya haja kubwa
- kinyesi kuvuja
- kinyesi kutoka kuchanganyika na damu chenye harufu mbaya.
CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASIRI
- kukaa kitako au kusimama kwa muda mrefu
- kufanya mazoez magumu yanayokaza misuli ya haja kubwa
- Uzito kupitiliza
- Mapenz kinyume na maumbile
- tatizo la kutokupata choo
TIBA YAKE Mara nyingi watu wenye tatizo hili tiba yake ni kufanyiwa upasuaji, hata hivyo wengi ilirudi baada ya kufanyiwa upasuaji.
Sasa unaweza kutibu tatizo hili kwa kutumia virutubisho kutoka AZMOH HERBAL CLINIC vilivyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu ambavyo havina kemikali 100%
KAZI YAKE.
- Huondoa miwasho na maumivu
- huweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuanzia mdomon hadi sehemu ya haja kubwa
- huondoa Bawasiri bila upasuaji.
- kulainisha choo.
NI VYEMA KUWAHI KUPATA TIBA MAPEMA KABLA YA KUBADILIKA NA KUWA CANCER.. TUWASILIANE.
Maoni