Malaria ni ugonjwa unaosumbua sana katika jamii yetu.hata hivyo wengi wetu hatufahamu kama ugojwa wa malaria unaua sana kila mwaka kuliko hata ugonjwa hatari wa ukimwi.
Watu wengi wanaoathirika na malaria sugu mara nyingi wanachanganyikiwa baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta tiba .Baadhi yao huanza kujishuku kwamba wana UKIMWI, kumbe ni malaria sugu.
Kiini cha ugonjwa wa malaria kinasababishwa na mbu aina ya Anofelesi, ambaye huzalisha wadudu wasioonekana kwa macho kwa jina la kitaalam hufahamika kama PLASMODIUM.
SABABU YA MALARIA KUWA SUGU.
Dawa nyingi za malaria hususani za vidonge zinaonekana hazina uwezo tena wa kutibu ugonjwa huo,kutokana na viini vya ugonjwa wa malaria yaani PARASITES mbayo hufahamika kwa jina la PLASMODIUM vime kuwa sugu na haviathiriwi tena na vidonge, ambavyo zamani vilikuwa ndiyo tiba halisi ya malaria.
Usugu huo umesababishwa na mabadiliko ya hali ya kijiografia yaliyotokea. Chembe chembe hai za viumbe vingi kubadilika kimaumbile takribani nguvu asilia , kwa mantiki hiyo hata vizalia vimekuwa sugu na hata dawa hizo za vidoge na sindano hazionekani kuponyesha tena kama zamani.
![]() |
MBU WA MALARIA |
TIBA .
Mgonjwa apatiwe aina ya dawa iliyochemshwa na kuchunjwa vizuri, atumie kunywa kwa maji moto, nusu kikombe cha chai kutwa mara tatu kwa muda wa siku kumi na tano au zaidi.
Maoni