FAIDA ZA MKUNAZI
MKUNAZI
FAIDA ZA MKUNAZI KWA UWEZO WA ALLAHﷻ
Mkunazi ni mti wenye virutubisho vingi vyenye faida katika mwili wa binadam vinavyo imarisha kinga ya mwili.
Majani, mau, matunda na Asali itokanayo na mti huu vyote ni dawa.
FAIDA ZA ASALI YA MKUNAZI.
Inapatikana nchini Yemen
MATUMIZI YA ASALI YA MKUNAZI.
Kunywa Kijiko cha chakula X3 kwa siku.
Au chnganya na mafuta ya habat saudaa au limao au maji moto kimoja wapo changanyia kwa matokeo mazuri zaidi.
1. Kuongeza kinga ya mwili
2. Kutibu madonda
3. Kutibu kukojoa kitandani
4. Kuimarisha afya ya nywele
5. Kuongea nguvu za kiume (changanya na karroti au tikiti maji glass moja asali ya mkunazi vijiko vitano kunywa kaa nusu saa fanya jimai)
6. Inatibu maumivu ya tumbo
7. Tiba ya maradhi ya nyemelezi
8. Tiba ya baadhi ya cancer
9. Inasaidia usagaji wa chakula
10. Kinga na Tiba ya maradhi ya Ini
11. Inatunza ngozi
12. Inasaidia kupata choo vizuri
13. Tiba ya magonjwa ya macho
FAIDA ZA MAJANI YA MKUNAZI KWA UWEZO WA ALLAHﷻ،
Majani ya mkunazi yana Antioxidants, linoleic acid, Ambazo husaidia
1. Yanasaida kuongeza Damu
2. Kinga dhidi ya maradhi ya Ini
3. Yanaongeza kinga ya mwili
4. Tiba ya maradhi ya fizi
5. Yanatibu maumivu ya Mwili
6. Yanatibu kiungulia
7. Yanatoa Sumu mwilin
8. Yana Tibu Minyoo
9. Yanatoa gasi tumboni
10. Yanazuia Kuharisha
11. Yanatibu Kuvimba/kufura tumbo
12. Yanatibu Kifua na matatizo ya mapafu
13. Yanatibu muasho wa koo .
14. Yanaondoa tatizo la kubanja (makohozi kifuani)
15. Yanaondoa Sumu mwilini , kwenye damu na bacteria wabaya.
16. Yanatibu Insomnia (kukosa usingizi)
17. Yanatuliza mishipa nakuipa utulivu hali ambayo husaidia kupunguza msongo wa mawazo na mifadhaiko.
18. Yanaondoa Uchovu, uvivu na kuupa mwili nguvu.
19. Yanapunguza Joto kali la mwili
20. Yanapunguza kutoa jasho jingi kupita kiasa haswa kipindi cha joto.
21. Yanatibu magonjwa ya ngozi (mapele) na yanazuia kusambaa kwa malengelenge.
22. Yanatibu chunusi nakuondoa makovu.
23. Yanatibu hedhi zilizo vurugika na maumivu kabla ya hedhi (PMS)
24. Yanasaidia kutibu chango la wanawake
25. Yanatibu sihiri (Mwanaume/Mwanamke aliyefunngwa asiweze kufanya tendo la ndoa na mkewe/mumewe
KUTIBU SIHIRI YA MAFUNDO.
MKE AU MUME ALIYEFUNGWA ASIWEZE KUMUINGILIA MKEWE.
Chukua majani saba mabichi ya mkunazi ya twange vizuri.
Yatie kwenye chombo chenye maji
Ukaribize mdomo karibu na maji huku ukiyakoroga majani katika maji naukisoma Ayatul Kursy na (Mu`awwidhati)
mpe mgonjwa anywe na kuogea maji haya siku kadhaa kwa uwezo wa Allahﷻ Sihiri na Mafundo yatabatilika.
JINSI YA KUTUMIA MAJANA KUTIBIA MARADHI MBALIMBALI.
1. TIBA YA KINYWA
ya twange kuisha loweka majani kwenye maji moto kwa masaa matatu kisha chuja.
tumia kusukutua.
2. Kukosa usingizi, kutoa sumu mwilini, tumbo kujaa gesi maumivu ya hedhi n.k
Pika chai ya majani ya mkunazi kunywa 400mls
(kwa matumzi zaidi wasiliana nasi)
FAIDA ZA TUNDALA MKUNAZI
1. Yanaimarisha Afya ya mjamzito (mama na mtoto tumboni)
2. Yanampa mjauzito hamu ya kula
3. Yanaimarisha kinga ya mwili
4. Kinga dhidi ya maradhi mengi
5. Yanaupa nguvu na nishati mwili
(Inashauriwe mja mzito ale matunda machache sana ).
WASILIANA NASI KWA DAWA NZURI ZA KISUNAH NA MITISHAMBA ZA MARADHI KAMA
1. VIDONDA VYA TUMBO
2. UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS/ MAYOMA).
3 DAWA YA BAWASIRI/ MGORO
4. DAWA YA NGUVU ZA KIUME
5. DAWA YA KISUKARI
6. DAWA YA PRESHA
7. DAWA YA KUPUNGUZA UNENE
8. DAWA YA NGIRI
9. DAWA YA PUMU
10. DAWA CHANGO LA UZAZI
11. TEZI DUME
12. PID
Maoni