DALILI KUMI (10) ZINAZOONYESHA UPUNGUFU WANGUVU ZAKIUME
1. Kukosa kushiri kushiriki tendo la ndoa
Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi inaweza kuwa dalili ya matatizo ya nguvu za kiume, hususan inapotokea kwa muda mmrefu
2. Kushindwa kusimamisha kwa muda mrefu (Erectile Dysfunction)
Ugumu wa kupata au kudumisha nguvu kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa ni dalili kubwa ya upungufu wa nguvu za kiume
3. Kumaliza mapema (Premature Ejaculation)
Mwanamume kumaliza mapema sana kabla ya mwenza wake kuridhika kunaweza kuonyesha tatizo la nguvu za kiume.
4. Maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa Maumivu au usumbufu wakati wa tendo yanaweza kuashiria shida za afya za kiume
5. Kuchoka haraka wakati wa tendo la ndoa
Kukosa uwezo wa kudumu kwenye tendo la ndoa au kuchoka haraka ni dalili ya kupungua kwa nguvu za kiume.
6. Kukosa nguvu za mwili kwa ujumla
Uchovu wa mara kwa mara na kukosa nishati ya mwili kunaweza kuathiri uwezo wa kushiriki tendo la ndoa
7. Kupungua kwa kiwango cha manii
Kupungua kwa kiwango cha manii wakati wa mshindo kunaweza kuwa ishara ya changamoto kwenye nguvu za kiume au uzazi
8. Kuwaza sana kuhusu kushindwa wakati wa tendo
Wasiwasi mwingi au hofu ya kushindwa kushiriki tendo la ndoa kunaweza kuathiri uwezo wa kiume na kuleta upungufu wa nguvu
9. Kupungua kwa ubora wa mshindo (orgasm)
Ikiwa mwanamume anahisi mshindo wa kiwango cha chini au hajafurahia tendo la ndoa kama awali, inaweza kuwa dalili ya matatizo ya nguvu za kiume
10. Msongo wa mawazo na mfadhaiko (stress na depression)
Msongo wa mawazo na mfadhaiko vinaweza kusababisha au kuzidisha matatizo ya nguvu za kiume
Dalili hizi zinapojitokeza ni muhimu kwa mwanamume kuwasiliana nasi ili kupata msaada
WASILIANA NA DACTARI UPEWE DOZI YAKO
Maoni