Shindikizo la damu ndio maradhi yaliyoenea zaidi siku hizi, maradhi haya yanasababishwa na vyakula vya kisasa, Kula zaidi na kufanya kazi nyingi mno, Maradhi haya yanatakiwa yachunguzwe mara kwa mara chini ya daktari mwenye vifaa kamili.
Utabibu wa kisasa unasema hivi: Kutibu shinikizo la damu huzingatiwa katika mambo muhimu ya tiba unaosababishwa na matukio mengi , kuna mafungamano thabiti baina ya shinikizo la damu na matatizo ya maisha ya watu. Mahitaji ya maisha yanapokuwa ya kawaida, afya ya mtu huendelea vyema. Lakini anaposhindwa kuitikia mwito wa mahitaji yake, mwili huanza kukosa mizani na ikafuatia shinikizo la damu.
Shinikizo la damu ndio maradhi yanayoenea zaidi siku hizi. Maradhi haya yanasababishwa zaidi na vyakula vya kisasa. Kula zaidi na kufanya kazi nyingi mno. Maradhi haya yanatakiw yachunguzwe mara kwa mara chini ya daktari mwenye vifaa kamili.
Utabibu wa kisasa unasema hivi: Kutibu shinikizo la damu huzingatiwa katika mambo muhimu ya tiba unaosababishwa na matukio mengi, kuna mafungamano thabiti baina ya shinikizo la damu na matatizo ya maisha ya watu. Mahitaji ya maisha yanapokuwa ya kawaida, afya ya mtu huendelea vyema. Lakini anaposhindwa kuitikia mwito wa mahitaji yake, mwili huanza kukosa mizani na ikafuatia shinikizo la damu.
Pia kuna ushirikiano baina ya shinikizo la damu na presha, watu wengi wanapopatwa na maradhi haya ni wale wanaopenda kuwa na haraka haraka katika kazi zao, wenye kujitahidi kumaliza kazi zao katika wakati mfupi zaidi na wenye kufanya kazi kwa bidii na kwa kufikiri sana.
Shinikizo la damu huweza likaondoka kulingana na kazi, mapumziko, aina ya chakula unachotumia, hali ya hewa, kurekebisha uchovu wa mishipa na akili.
Wale wanaosifika kwa haraka na chapchap katika kutekeleza kazi zao, bila shaka hao ni windo la shinikizo la damu.
MAMBO YA KUZINGATIA/TAHADHARI NA TIBA.
i. Chumvi ya chakula huzidisha msongo wa damu, hivyo basi ni lazima kuitumia kwa uchache kadri inavyowezekana.
ii. Dawa aina ya KTN ina umuhimu mkubwa katika kupambana na shinikizo la damu, uchovu wa mshipa mkubwa upelekao damu kwenye moyo, itasababisha msongo wa damu kuwa juu, kwani ni lazima mgonjwa apate dawa hii kijiko kimoja kidogo, kila anapokula chakula. Dawa hii hupunguza msongo wa damu na kuifanya damu kutembea kwa kawaida.
iii. Atumie mafuta ya mahindi au aina nyingine ya nafaka katika chakula chake, badala ya kutumia mafuta ya wanyama ambayo husababisha maradhi.
iv. Dawa aina ya CNY yenye ABF husaidia kudhibiti “cholesterol” mwilini, hivyo kudhibiti vizuri shinikizo la damu.
Matumizi: Kunywa dawa kikombe kimoja cha chai aina CNY na ABF kutwa mara tatu muda wa siku kumi na nne.
v. Kula pera husaidia wazee wenye umri mkubwa. Atakula baada ya chakula. Tunda hili husaidia sana wenye maradhi ya shinikizo la damu.
Maoni