CHANGAMOTO YA TEZIDUME NA TIBA YAKE
Wanaume karibu wapo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya tezi dume na hasa wanapofikia umri wa miaka 50.
Kutanuka kwa tezi dume
Hii ni hali ambapo tezi dume huongezeka ukubwa. Zaidi ya theluthi ya wanaume wote walio juu ya miaka 50 wana dalili za kuvimba kwa tezi dume. Haijajulikana kwa uhakika ni kwa nini tezi dume huwa kubwa zaidi kadri umri unavyoongezeka, lakini kukua huku si dalili ya kansa na wala hakuongezi uwezekano wa kupata kansa. Hili si tatizo kubwa sana la kiafya.
Tezi dume iliyoongezeka ukubwa huleta msukumo juu ya mrija wa mkojo na kibofu cha mkojo hali ambayo inaweza kuathiri namna mkojo utakavyotoka.
DALILI YA TEZI DUME ILIYOVIMBA.
1.Shida katika kuanza kukojoa au kuubana mkojo
2.Mtiririko dahifu wa mkojo
3.Kukojoa kwa shida
4.Kujisikia kuwa hujamaliza mkojo
5.Mkojo kuendelea kudondoka kwa muda mrefu baada ya kumaliza
6.Hali ya kujisikia kukojoa mara kwa mara au ghafla
7.Kuamka mara nyingi zaidi usiku kwa ajili ya kwenda haja ndogo
8. Pressure ya Mkojo kua ndogo
Kwa baadhi ya wanaume, dalili zinaweza kuwa ndogo ambazo hazihitaji tiba. Kwa wengine, zinaweza kuwa kubwa na kuathiri maisha yao. Wanaume hupatwa hofu kuwa kuvimba kwa tezi dume kunashahabihiana na upataji wa kansa ya tezi dume. Hii siyo kweli kwani uwezekano wa kupata kansa wa mtu mwenye tezi iliyovimba hauzidi ule wa mtu asiye na tatizo hili la tezi.
Sababu ya kuongezeka ukubwa wa tezi dume haijajulikana, lakini wataalamu wengi wanaamini kuwa inahusiana na mabadiliko katika homoni yanayotokea umri wa mtu unapokuwa mkubwa.
MADHARA YANAYOWEZA KUTOKEA KUTOKANA NA KUVIMBA KWA TEZI DUME NI;
1.maambukizi kwenye njia ya mkojo – UTI, kutokana na kuwa wadudu kama bakteria waliomo kwenye njia ya mkojo hawataweza kusukumwa nje wakati wa kukojoa, .
2.Mkojo kushindwa kabisa kutoka
3.Madhara kweny kibofu na figo
4.Upungufu wa Nguvu za kiume, na kushindwa kuhimili tendo
5.Kansa ya Tezi dume
6.Huweza kusababisha kupoteza maisha Kama utashindwa kutibu tezi dume
SULUHISHO
mara nyingi wenye changamoto hii wamekuwa wakitibiwa hospitalini kwa njia ya upasuaji na kupata matokeo kwa mda mfupi na baada ya hapo changamoto hii huwarudia tena na kisababisha madhara mengine makubwa zaidi.
Tunayo matibabu ya kuvimba kwa tezi dume bila upasuaji wowote kwa kutumia virutubisho lishe visivyo na kemikali na maranyingi njia hii imewasaidia wengi na tatizo kutojirudia tena kwa ushauri
Maoni