MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE/DALILI NA SABABU ZA MAUMIVU YA TUMBO/JE NITAJUAJE KAMA AMEFIKA KILELELENI?/
MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE.
Kutokana na sababu mbalimbali, wanawake wengi hupatwa na tatizo la maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa nyakati tofauti.
Maumivu haya mara nyingi hutokea katika kibofu cha mkojo au katika via vya uzazi vya mwanamke.
Mara nyingi ni ngumu kujua sababu hasa ya maumivu , lakini kwa kuzingatia dalili na maelezo ya mgonjwa ,daktari anaweza kujua chanzo cha tatizo.
DALILI NA SABABU ZA MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE.
√ Dalili kuu ni maumivu ,ambayo yanaweza kuwa chini ya kitovu katikati, kulia na kushoto. Kuna yale ya upande mmoja yanayosambaa.
√Kuna maumivu mengine chini ya kitovu huwapata wanawake wanaposhiriki tendo la ndoa kwa ndani ya uke au chini ya kitovu.
√ Pia yapo ambayo huwapata wanawake wakati wameinama, wakati wa kunyanyua vitu vizito, wakati wa kucheka au kuimba, na wngine wakiwa wamelala kifudifudi.
SABABU
1.Mirija ya uzazi kujaa maji mazito na machafu ambayo huzuia yai kutembea kwenye mirija ya uzazi.
Mwanamke ambaye amewahi kuambiwa na daktari kwamba anatakiwa asafishwe kizazi chake/mirija ya uzazi na wakati huo huo anasikia maumivu chini ya kitovu kushoto na kulia au upande mmoja kuna uwezekano akawa na tatizo la mirija ya uzazi kuziba kutokana na kujaa maji machafu.
2.Kutokukomaa kwa mayai ya uzazi.
Hii husababisha vifuko vya mayai ya uzazi kuvimba(ovaritis) na kumletea mwanamke maumivu chini ya kitovu mithili ya kichomi. Mwanamke ambaye anamaumivu chini ya kitovu na wakati huo huo ana matatizo ya hedhi mfano hedhi kukoma au kutokuwa na mpangilio maalum kunauwezekano mkubwa akawa na tatizo la vifuko vyake vya mayai ya uzazi kutokomaza mayai na hivyo mayai kutotoka kwenye vifuko hivyo na kusababisha kuvimba na hatimaye kumsababishia mwanamke maumivu makali mithili ya kichomi.
3.Kuvimba kwa kuta za mji wa mimba na kuta za mirija ya uzazi (PID/Pelvic Inflamatory Disease).
Mwanamke anayesikia maumivu chini ya kitovu katikati na pembeni kwa wakati mmoja na wakati huo huo akawa anatokwa na uchafu mzito mithili ya maziwa mtindi kunauwezekano akawa na PID hasa hasa kama amewahi kukumbwa na tatizo la kuharibika kwa mimba kabla haijafikisha miezi mitano.
4.Afya mbovu ya kibofu cha mkojo ikiambatana na matatizo ya maambukizi kwenye mfumo mzima wa mkojo (UTI). Maumivu chini ya kitovu yanayohusisha afya mbovu ya kibofu cha mkojo huambatana na mgonjwa kutoa haja ndogo kidogo sana ila mara kwa mara.
•TIBA.
√ matatizo haya yanatibika, hivyo ni vizuri kwenda hospitali ili ufanyiwe uchunguzi na kupewa tiba sahilili kutokana na chanzo cha tatizo lako.
TIBA YA KUDUMU
Nina program maususi ambayo itakusaidi kuondoa chanzo Cha tatizo
Program hii imewasaidia wanawake wengi wenye changamoto za uzazi ikiwa unateseka na changamoto hi kwa muda mrefu ujapata suluhisho la kudumu Wasiliana nasi
AINA ZA UCHAFU WA UKENI USIO WA KAWAIDA
Kikawaida uke wa mwanamke una bacteria wa kawaida wazuri waishio katika tunda hilo kwa ajili ya ulinzi.
Kitu chochote kitakacho haribu uwiano wa bacteria wa kawaida waishio katika uke kinaweza kuleta mabadiliko katika rangi,Harufu, au muundo wa uchafu utakaotoka katika uke.Hapa chini naonyesha aina ya uchafu unaotoka,Maana yake au chanzo chake na dalili ambazo zitatokea kwenye mwili wa mwanamke Husika ukiona una dalili hizo wai tiba na ushauri
1⃣ UCHAFU WENYE DAMU AU RANGI YA KAHAWIA
• Hi ni dalili ya mzunguko wa mwezi wa mwanamke uliovurugika na Mara chache ni dalili ya cancer ya servix au aina nyingine ya cancer iitwayo endometrial cancer. Mwanamke mwenye tatizo hili atatoa damu nyingi uken na kuumwa nyonga.
2⃣UCHAFU WA NJANO AU KIJANI WENYE HARUFU MBAYA
• Endapo uchafu ukatoka kama mapovu,wenye rangi ya kijani au njano ukiambatana na harufu mbaya ,Hi ni dalili ya Trichomoniasis .Maambukizo ya (parasitic) yanayotokana na Ngono zembe.dalili ingine ni kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.
3⃣ UCHAFU MWEUPE ,WA NJANO AU KIJIVU WENYE HARUFU YA SAMAKI.
• Uchafu wa aina hii ni dalili ya maambukizi ya bacteria (vaginosis) .Mwanamke mwenye tatizo hili atasikia miwasho au maumivu ,kuvimba kwa uke au sehemu ya nje ya uke (vulva)
4⃣ UCHAFU WENYE RANGI YA MAWINGU AU NJANO
• Hi ni dalili ya ugonjwa wa kisonono (Gonerhea) mwanamke atatokwa na damu katikati ya Siku zake, Atatokwa na mkojo bila kukusudia na kupata maumivu ya nyonga.
5⃣ UCHAFU MWEUPE MZITO KAMA JIBINI
• Hi ni dalili ya maambukizi ya aina ya fungas (yeast infection)
Na dalili zingine atakazozisikia mwanamke huyu ni kuvimba na maumivu kwenye sehemu za nje za siri (vulva) Kuwashwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa
Swali wengi mnapenda kuniuliza ni Kuhusu utajuaje kama mwenza wako amefika kileleni huenda pia hata wewe unatamani kufahamu au huenda unafahamu ili wahitaji kujazia maarifa ni
"JE NITAJUAJE KAMA AMEFIKA KILELELENI?"
Kabla ya kuendelea nikwambie kwamba Wanawake ambao wamewahi kufikishwa kileleni huko nyuma au kufika kileleni kwa kujichua mwenyewe ni rahisi kuwaacha wanaume zao wapya ambao wameshindwa kuwafikisha kileleni
-Mwanamke kufikishwa kileleni ni jambo la muhimu sana Zifuatazo ni baadhi ya Dalili zitakazo kufanya ujue kama kafika kileleni ni muhimu kumsoma vizuri mwenza wako na kumuelewa
i. Uke hubana na kuachia
Kama upo kwenye tendo basi utahisi ukibanwa na kuachiwa. Hii ni misuli ya uke inatanuka na kusinyaa. Ikiashiria mwanamke kufika kileleni.
ii. Huhema kwa kasi na kutoa jasho sana.
iii. Kulegea mwili ghafla . kabla hajafika kileleni huwa amekukumbatia na kukushika lakini akifika kileleni hukuachia na kutulia hafanyi chochote.
iv .Kuloana sana uke Wengine hutoa maji mengi hutoka kama bomba kwa kasi ni kiashiria kwamba kafika kileleni. Pia wengine uke hukauka pia ni kiashiria kwamba kafika kileleni.
v. Hukuzuiya usiendelee kufanya chochote .
vii. Anaweza kukumbatia ghafla. Anaweza kukubana kwa mikono yake ghafla na ukashindwa kufanya chochote.
Vii. Hutulia ghafla na kubaki akiwa amekuangalia tu. Kama alikuwa anapiga kelele mwanzoni basi anatulia ghafla.
Viii. Hutetemeka au wengine huita degedege,lakini baaada ya mda hutulia .
‼️ KUMBUKA ‼️ Sio lazima uone dalili zote izo ,dalili moja tu ni ishara tosha muhimu mdadisi mpenzi wako maranyingi kuna ishara utaona inajirudia au zinajirudia Kama hujawahi ona dalili hizo basi hujawahi mfikisha mwenza kileleni
‼️MWISHO KABISA‼️ Takwimu zinaonyesha kwamba inamchukua mwanamke kuanzia Dakika 16 mpaka 26 kufika kileleni na wengine zaidi hivyo ni muhimu kujidadisi zile dakika ambazo huwa unaenda.
Kama una changamoto daudizephaniamshahara@gmail.com wasiliana nasi kupata miongozo na ushauri na zaidi hakikisha unasave namba yangu na unapitia kila siku status zetu za whatsapp kuzidi kupata miongozo ya kukubadilisha kiafya.
JE, UNAJUA NINI KINACHOMFANYA MWANAMKE KUKOSA HEDHI HUKU AKIWA KATIKA UMRI WA KUZAA?
Amenorrhea ni kukosa hedhi kwa vipindi 2 au 3(miezi 2-3 bila kuona hedhi).
Wanawake waliokosa hedhi kwa muda wa miezi 2-3 wana tatizo la amenorrhea, kama wanavyokuwa wasichana ambao hawajavunja ungo wakiwa katika umri wa miaka 15. Chanzo kikuu cha kukosa hedhi huwa ni ujauzito. Visababishi vingine huwa ni matatizo katika viungo vya uzazi au tezi zinazosaidia kurekebisha viwango vya homoni.
Je, Dalili Zake Zinakuwaje?
Dalili kuu za amenorrhea ni kukosa vipindi vya hedhi. Inategemea na chanzo cha amenorrhea, lakini unaweza ukapatwa na dalili zingine pamoja na kukosa hedhi, kama vile;
• Kutokwa na maziwa kwenye chuchu
• Nywele kunyonyoka
• Kichwa kuuma
• Macho kutokuona vizuri
• Kuota ndevu
• Nyonga kuuma
• Uso kujaa chunusi
NB: Uonapo dalili kama hizo, basi fika hosptali haraka ukafanye vipimo na kisha anza kutumia tiba mapema.
Je, Nini Husababisha Kukosa Hedhi?
Hali ya kukosa hedhi inaweza kutokana na ya mwanamke, lakini zingine zinaweza kutokana na athari za madawa ya vidonge au ishara ya matatizo ya madawa.
1. Hali Ya Asili Ya Kukosa Hedhi
Katika wakati wa kawaida wa maisha ya mwanamke, unaweza ukapatwa na hali ya kukosa hedhi kwa sababu za asili kabisa kama vile;
• Ujauzito
• Kunyonyesha
• Kukoma hedhi
2. Vidonge Vya Kudhibiti Uzazi
Baadhi ya wanawake wanaotumia vidonge vya uzazi wa mpango wanaweza kukosa hedhi. Hata baada ya kuacha kutumia, yaweza kuchukua muda Fulani kabla ya kupata uwezo wa kupevusha mayai na kurejesha tena mzunguko wa hedhi katika hali yake ya awali.
NB: Madawa ya uzazi wa mpango ambayo yanapandikizwa au kuchomwa kwa njia ya sindano pia yanaweza kusababisha mwanamke akakosa hedhi.
3. Madawa Ya Vidonge
Madawa Fulani ya vidonge yanaweza kusababisha vipindi vya hedhi kusimama, kwa mfano madawa kwa ajili ya;
• Magonjwa ya presha
• Aleji
• Kansa
• Matatizo ya akili
4. Mambo Ya Mitindo Ya Maisha
Wakati mwingine mambo ya mitindo ya maisha yanaweza kuchangia hali ya kukosa hedhi, kwa mfano;
• Mwili kukonda na kuwa na uzito mdogo
• Kufanya mazoezi mazito kupita kiasi
• Msongo wa mawazo
5. Kutokuwa Na Uwiano Sawa Wa Homoni
Aina nyingi za matatizo ya madawa zinaweza kusababisha kutokuwa na uwiano sawa wa homoni, hasa;
• Vivimbe vingi kwenye vifuko vya mayai
• Tezi ya Thyroid kushindwa kufanya kazi
• Tezi ya pituitary kuvimba
• Kukoma hedhi kabla ya muda wake
Je, Nini Madhara Ya Kukosa Hedhi?
Madhara ya kukosa hedhi huwa kama ifuatavyo
• Ugumba
• Mifupa kuwa laini.
Je, Unahitaji Kuondoa Tatizo Hili?
🎯Nina program nzuri kabisa zenye uwezo wa kutengeneza
mfumo wa homoni na kumuwezesha mwanamke kupata ujauzito na kupona kabisa kwa kutumia program Zangu..
Je Tatizo La Uke Kuwa Mkavu...?
Napenda kuzungumzia hili Mara kwa Mara kutokana na
Nitatizo linalowasumbua wanawake wengi sana kwa Sasa,
homoni za mwanamke Husaidia Sana kuutunza uke na kusifanya tishu za uke kuwa zenye afya nzuri na kutengeneza unyevu unyevu wakawaida ukeni. Ikumbukwe kiafya uke lazima uwe na unyevu unyevu, na sio kiafya uke kuwa mkavu na hata kwenye suala la kushiriki Tendo la ndoa.
KUNA SABABU NYINGI ZINAPELEKEA HILI TATIZO
📌Moja ya SABABU kubwa zaidi Ni tatizo la homoni, (Estrogen) na hii homoni inaweza kushuka kutoka na matatizo mbali mbali Kama: Matumizi ya madawa ya uzazi wa mpango, pili kunyonyesha, tatu kujifungua mtoto, nne, Matatizo ya kwenye mfuko wa uzazi, kushuka kwa Kinga ya mwili, kukoma hedhi, Matumizi ya madawa yakuongeza homoni, Kutumia madawa makali na mafuta ukeni
📌Matatizo ya fangasi ukeni.
📌Maandalizi yasiyojitosheleza kabla ya Tendo landoa pia huchangia uke kuwa mkavu.
📌Msongo wa mawazo.
📌Kutokuwa na hisia wakati wa Tendo landoa pia huchangia Hili tatizo.
NB: kukauka uke katka umri wamiaka 45+ huwa nidalili au viashiria vya hedhi kukoma, chini ya huo umri nimatatizo yakiafya hasa hormonal imbalance
DALILI ZA UKE MKAVU.
📌Michubuko wakati wa tendo
📌Maumivu wakati wa Tendo la ndoa,
📌Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
📌Msongo wa mawazo.
📌Mzunguko wa hedhi kuvurugika.
📌Kutofurahia tendo la ndoa.
Huenda unatatizo hili na umetumia dawa nyingi na bado linakutesa, unakosa Amani ya ndoa, kila inapofika muda wa kushriki tendo la ndoa unakaa na kuwaza,
Vijue Visababishi vya Vimbe Kwenye mfuko wa mayai (Ovarian cyst)
Maana ya Ovarian cyst
Hii Ni Hali ya sehem ya mfuko wa mayai kujitokeza vijimbe vidogo vidogo vyenye maji maji kwa ndani.
Mwanamke yeyote Yule ana mfuko moja wa mayai (ovaries) kila upande kulia na kushoto mwa uteri(uterus).
Ambapo kila mwezi yai moja huweza kupevuliwa na kushushwa Kwenye mfuko wa UZAZI (uterus ) kwa ajili ya urutubishaji,
Sababu kuu za Kuvimba kwa mfuko wa mayai ,
🔴 Tatizo la hormonal imbalance,
Tatizo la hizi vimbe hutokea katikat ya umri wa kubarehe na Kukoma hedhi,
Hii ni kutokana na sababu ya hormone ya progesterone na estrogen kuzalishwa kwa wingi.
Na sababu kubwa Ni pale mwanamke anapo kuwa unatumia dawa au vidonge vya UZAZI wa mpango hupelekea vijivimbe vingi kwenye mfuko wa mayai.
🔴 Magonjwa ya UZAZI.(PID) Mfano, kaswende, Gonnorrhea, fungus, N.k
🔴 Endometriosis,
Hii ni Hali ambayo seli za ukuta wa uteri huweza kukua kwa Hali ya kiutofauti inayo pelekea kuanza kukua na kumeza yai ambapo hufanya kuwa uvimbe.
Vyakula ambavyo Ukila husababisha hizo vimbe
💎 Viazi vyeupe,
💎Mikate yenye rangi nyeupe
💎 Kutumia vyakula vilivyo tengenezwa kwa unga mweupe,
💎 vyakula vyenye sukarii kwa wingi,
Dalili za Vimbe Kwenye mfuko wa mayai (Ovarian cyst)
💎Kupata Maumivu makali upande mmoja wa mwili wenye vimbe hizo.
💎Kupata Maumivu kwenye nyonga,
💎 Hedhi kutoka mfululizo au Tareh tofauti tofauti,
💎Kupata Maumivu makali Tareh za hedhi.
💎 Kupata hedhi yenye mabonge mabonge ya damu.
💎Kupata Maumivu wakati wa tendo la ndoa,
💎Kupata vichomi na nyonga kukuza.
Namna ya kuepuka Ovarian cyst
🌑 Epuka kutumia UZAZI wa mpango wa kisasa,
🌑 Kula vyakula vya asili ili kuhakikisha unapata Virutubisho mhimu zaidi,
🌑 Mwanamke Usivute sigara
🌑Kuwa na uzito sahihi na kama una uzito mkubwa hakikisha unapunguza,
Note
Tuna toa Tiba ya kuondoa Ovarian cyst na Uvimbe kwenye uzazi (Fibroids) Bila Kufanya upasuaji Na unapata matokeo mazuri,
Ambapo ndan ya Tiba hiyo Kuna products za kusawazisha hormone level na kufanya mfumo wa hormone unakuwa sawa,
Ukiwa Kwenye matibabu hayo Tunatoa Ushaur au elimu ya ulaji wa chakulaa buree kabisa"
CHANZO CHA UVIMBE HAKIJULIKAI ILA KUNA MAMBI AMBAYO YANAFANYA MWANAMKE AKAWA NA TATIZO HILI
ðŸ˜Kuna baadhi ya mambo ambayo yanaweza kufanya baadhi ya wanawake kupata uvimbe..
ðŸ˜Mojawapo ni mabadiliko ya homoni (hormone imbalances) kutozaa kabisa, kuwahi kuvunja ungo (kuvunja ungo kabla ya miaka 10),
ðŸ˜Maambukizi ya Muda mrefu au ya kujirudia asa P.I.D Sugu, uzito mkubwa hasa ukiwa na uzito mkubwa wakati wa ujana, kula sana nyama nyekundu,
ðŸ˜kuvuta sigara na unywaji wa pombe uvimbe huu kwa wagonjwa wengi huwa unaambatana na kuvuja damu nyingi wakati wa hedhi.
🥰Matibabu ya fibroid yanaweza kuwa ya upasuaji au Kutumia dawa (Ukiwa umewahi kupata matibabu mapema) Ila kumbuka pasipo kuondoa CHANZO uvimbe lazima urudi tu.
UTAJUAJE KAMA UNADALILI ZA UVIMBE!?
➡️ Maumivu wakati wa tendo landoa!
➡️ Mimba kuharibika Mara kwa Mara( miscarriage).
➡️ Kupata damu ya hedhi nzito isiyoyakawaida.
➡️ Maumivu makali wakati wa hedhi.
➡️ Hedhi kubadilika badilika.
➡️ Unaweza kupata matatizo ya nyonga na ukipima unaweza kugundulika na uvimbe.
➡️ Kushindwa kupata ujauzito kabisa.
➡️ Dalili nyingine kupata hedhi Mara mbili kwa mwezi.
➡️ Tumbo kuwa kubwa muda wote na kujihisi Kama mjamzito.
➡️ Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi.
➡️ Shinikinizo lakibofu Cha mkojo, na Mara nyingi inapelekea kukojoa Mara kwa Mara.
UVIMBE UNAPOKUA MKUBWA/ ZINAPOKUWA NYINGI UNAWEZA KUSABABISHA DALILI ZIFUATAZO
1️⃣ Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo.
2️⃣ Mkojo kubaki kwenye kibofu cha mkojo.
3️⃣ Haja kuwa ngumu.
4️⃣ Miguu kuvimba.
5️⃣ Kupungukiwa damu.
JINSI FIBROIDS UNAVYOWEZA KUZUIA KUPATA MTOTO
👉 Fibriods ukikua sana unakandamiza mishipa ya kupitisha mayai kutoka kwenye mfuko wa mayai yaani ovari.
👉 Uvimbe pia unazuia yai
lililorutubishwa kujishikiza kwenye
kizazi.. hasa submucosal fibroids
👉 Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.
HUNA HAJA YA KUWAZA TENA TUMIA COMPLETE LEO ITAKUPA MATOKEO MAZURI SANA
UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI KWA WANAWAKE*
➡️CHANGO la uzazi ni miongoni mwa magonjwa yanayoshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke ambapo humsababishia maumivu makali ya tumbo na kushindwa kupata ujauzito, au mimba kuharibika kila zinapoingia.
➡️Zipo aina nyingi za chango ambazo zinaweza kujitokeza kila moja peke yake au zikajikusanya na kujitokeza kwa pamoja, mkusanyiko huu ndiyo unaitwa Ovulation Disorder(O.D)
CHANZO CHA TATIZO
➡️Matatizo ya chango la uzazi, inatokana na vifuko vya mayai ya uzazi (ovaries) kutokuwa na uwezo wa kuzalisha mayai na kufanya yakue kwa wakati muafaka.
➡️Mwanamke mwenye matatizo haya hushindwa kuwa na siku za hatari za kunasa ujauzito na kama zipo basi huwa hazina mpangilio unaoeleweka.
➡️ Yawezekana mwanamke mwenye tatizo hili akawa na uwezo wa kuzalisha mayai lakini yakashindwa kukomaa au hata yakikomaa yakashindwa kusafiri kwenye mirija ya uzazi kwenda kukutana na mbegu za uzazi za kiume kwa ajili ya kurutubishwa.
⏩Tatizo hili huanzia kwenye ubongo, ambapo sehemu inayohusika na uzalishaji wa homoni hushindwa kufanya kazi yake vizuri na hivyo kushindwa kudhibiti uzalishaji wa homoni za Follicle Stimulating Hormone (FSH) na Lutenizing Hormone (LH) ambazo ndizo zinazohusika na uzalishaji na uchavushwaji wa mayai ya mwanamke katika viungo vyake vya uzazi.
⏩Matumizi ya tumbaku ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kusababisha homoni za mwanamke kuvurugika na hivyo kupata tatizo hilo pia
⏩Kuziba kwa mirija ya uzazi, maambukizi katika via vya uzazi(pid) na kufunga kwa shingo ya kizazi ni sababu nyingine za tatizo hili.
⏩Chanzo kingine cha tatizo hili ni Hyperplo-lactinemia ambapo mwili wa mwanamke huzalisha homoni ya Prolactin kwa wingi ambayo ikizidi katika damu, huzuia uzalishwaji wa homoni nyingine ya Oestrogen ambayo hutumika kuchochea uzalishaji wa mayai ya uzazi.
⏩Wanawake wenye uzito mkubwa wanatajwa kuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupatwa na chango la uzazi.
DALILI ZA CHANGO LA UZAZI
Dalili za chango la uzazi kwa mwanamke ni pamoja na
▶️kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi,
▶️ kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa,
⏩kujisikia homa kali anapokaribia siku zake za hedhi pamoja na kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
▶️kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi ni dalili nyingine ambapo mwanamke anaweza kuwa na mzunguko mrefu wa hedhi wa zaidi ya siku 35 na pia kubadilikabadilika kwa siku za hedhi au kuwa na mzunguko mfupi wa hedhi chini ya siku 21.
▶️Dalili nyingine ni mwanamke kuwa na hasira kali anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi,
▶️kupata michubuko kwenye sehemu zake za uke
,
▶️kuchukia kushiriki tendo la ndoa,
▶️kupata uvimbe kwenye kizazi na kupelekea mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi.
MADHARA YA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE
Yapo madhara mengi kwa mwanamke mwenye tatizo hili lakini kubwa, huwa ni vigumu kupata ujauzito na hata pale anaponasa ujauzito, huharibika na kutoka kwa urahisi na kushindwa kufurahia tendo la ndoa ambapo huwa vigumu sana kwa mwanamke mwenye tatizo hili kufika kileleni wakati wa tendo
MATIBABU,
Hospitalini Hakuna dawa za moja kwa moja zinazoweza kutibu tatizo hili, ambapo zilizopo nyingi huwa ni za kurekebisha mfumo wa homoni mwilini, kama mwanamke amepata uvimbe, atapewa dawa za kuondoa uvimbe au kufanyiwa upasuaji na kama anapata maumivu makali kabla na wakati wa hedhi, atapewa dawa za kumaliza tatizo hilo.
▶️Wanawake wengi wanaotumia tiba za hospitali wamekuwa wakiripoti kujirudia kwa tatizo hili, hivyo ni vyema ukatumia virutubisho lishe asilia ambavyo vitakwenda kutibu chanzo cha tatizo lako na kuweza kulimaliza kabisa MUONE DAKTARI UPONE
Maoni