VYAKULA 8 VINAVYSAIDIA KUSHIKA MIMBA HARAKA

VYAKULA 8 VINAVYSAIDIA KUSHIKA MIMBA HARAKA

 Ikiwa unatamani kushika mimba haraka basi anza sasa kutumia kwa wingi vyakula vifuatavyo
🌸Ndizi mbivu.
🌸Kabeji.
🌸Machungwa na matunda mengine ya jamii hii.
🌸Mananasi.
🌸Viazi Mviringo.
🌸Viazi vitamu.
🌸Samaki wabichi.
🌸Mboga za majani.
🌸Parachichi.


 Kama utajitahidi kula vyakula hivyo kwa wingi uwezekano wa kushika mimba unakuwa ni mkubwa sana.Lakini pia unapaswa kuepuka kutumia vitu vifuatavyo. 
🌹Pombe.
🌹Sigara.
🌹Bidhaa za viwandani.
🌹Madawa ya kuzuia usingizi.
🌹Kahawa.
🌹Sukari.
🌹vyakula vilivyokobolewa.
🌹Maziwa.

 Zingatia: Swala la kutafuta watoto ni jambo la pande mbili mr and mrs sasa mshirikishe mr au mrs muweze kutimiza uzazi wenu

Maoni