VYAKULA VYA KUEPUKA IWAPO UNAUGONJWA WA FIGO
1.Nyama iliyosindikwa.
Huandalia kwa kutumia chumvi nyingi yenye madini ya sodium ambayo huongeza tatizo kwa Mgonjwa.
2.Soda zenye rangi nyeusi.
-Soda za rangi nyeusi zina sukari nyingi na madini ya phosphorus ambayo yatakuongezea matatizo kiafya iwapo unaugonjwa wa figo.
3.Matunda yenye madini ya potassium kwa wingi.
Mfano wa matunda haya ni ndizi ,parachichi,kiwi na machungwa.
-Matunda haya hayafai kwa mgonjwa wa figo maana yatapelekea upate tatizo la mawe kwenye figo.
4.Matunda yaliyokaushwa.
-Matunda yaliyokaushwa yanakiwango kikubwa cha sukari na potassium ambayo ni hatari kwa mgonjwa wa Figo.
5.Maharage na Dengu.
-Zina madini phosphorus and potassium kwa wingi ambayo ni hatari kwa mgonjwa wa Figo.
6.Spinach
-Mboga hii ina potassium and oxalic acid ambavyo vitakuongezea madhara ya Ugonjwa wa Figo.
7.Vitafunio.
-Vitafunio kama Chipsi na biscuti zina Sodium na sukari kwa wingi hivyo vitakuongezea tatizo la figo.
8.Viazi vitamu na aina nyingine za viazi kiujumla.
-Viazi vina Pottasium na wanga kwa wingi hivo vitapelekea kukuongezea tatizo zaidi kwa mgonjwa wa figo.
9.Juisi ya matunda.
-juisi ya matunda kama machungwa yanamadini ya Potassium na sukari ambayo inaongeza madhara zaidi kwa mgonjwa wa figo.
10.Vyakula vya kusindikwa.
-Mgonjwa wa figo hutiwi kutumia vyakula hivi kwasababu huwa na sodium kwa wingi ambayo huongeza madhara kwa mgonjwa wa figo.
NB:
Tiba ya matatizo ya figo tunayo na dose kamili inagharimu Tsh355000 utachukua kwa awamu mbili
Piga simu kupata huduma hizi
Maoni