Uume Usimame na Kuendelea kudumu katika kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo

Mambo Muhimu Katika Kuufanya 

          Uume Usimame na Kuendelea kudumu katika kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.Ili uume uweze kusimama imara kama msumari na uendelee kusimama imara na kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa, ni lazima mambo yafuatayo yawepo.

1. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema.
2.Mfumo mzuri wa damu katika mwili mzima. 
3.Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.
4.Ushirikiano wenye afya kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume.

            Ili hayo Mambo manne yawe vizuri, Ni muhimu ufaham ya kwamba mwili wako unahitaji kiwango kizuri cha virutubisho lishe asilia. Ndio maana unashauriwa upate dozi ya virutubisho lishe (supplements) Mapema na ushauri wa ziada kwa formula ya Mazoezi na vyakula ili mifumo hiyo mifumo ijengwe kwa ufanisi na kumaliza changamoto ya Upungufu wa Nguvu za kiume Moja kwa Moja , na usijirudie tena kwa uraisi.

            kwa tiba moja kwa moja na ushauri usisahau kututafuta sisi tukushauri kulingana na ukubwa wa tatizo lako.

Maoni