UNYWAJI WA MAJI NA FAIDA ZAKE
UTANGULIZI
Maji ni kimiminika kilichotengenezwa na viambata viwili Oksijeni na Hydrogen na ni kiini cha uhai wowote duniani.
FAIDA NA KAZI ZA MAJI KATIKA KUTATUA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME.
1.Maji yanasaidia katika kuweka sawa umeme wa mwili(“electrolytes balance”).
2.Maji yanamsaidia mwanaume katika kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.
3.Kwasababu ya mzunguko mzuri wa damu ambao unabeba vichocheo vya tendo la ndoa mfano “testosterone hormone”.
4.Kuondoa taka mwili(body system cleansing).
5.Kuzuia kubanwa na misuli kwenye miguu hususani nyuma ya magoti na kwenye mapaja.
6.Kuongeza nguvu za mwanaume kwasababu hurahisisha umengenywaji wa chakula, ufyonzwaji na utumiaji wa virutubisho mwilini.
7.Maji yanasaidia kuweka sawa shinikizo la damu.
8.Maji yanasaidia kujisikia vizuri(Mood buster).
9.Maji yanatumika kama vilainishi vya maungio ya mwili na mifupa.
10.Maji yanamsaidia mwanaume kuweka sawa joto la mwili.
11.Maji yanasaidia katika ukuaji wa seli mpya na kuondoa seli zilizo zeeka au seli zulizo haribika.
12.Maji yanasaidia kuondoa maumivu ya mgonjo na maungio yaliyo kaza kwa mwanaume.
13.Maji yanasaida kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa kwa mwanaume na kumwezesha mwanaume kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.
14.Maji yanasaidia kuondoa msongo wa mawazo.
15.Maji yanamsaidia mwanaume kuzuia kukojoa mkojo unao nuka au kutoa mbegu za kiume zinazo toa harufu mbaya wakati wa tendo la ndoa.
MAMBO YA KUFAHAMU NA KUZINGATIA KABLA YA KUAZA KUTUMIA MAJI.
1. Fahamu kiwango cha maji yanayohitajika mwilini mwako kulingana na uzito wako. Au tumia glasi 6-8 kwa siku(24hrs).
2. Weka malengo yako katika unywaji wa maji na haya yatakusadia kwa kukuhamasisha kujituma ili ufikie malengo yako.
3. Andaa chupa ya maji ambayo unaweza kuwa nayo mahali popote kama ofisini, mazoezini au mahali popote kazini kwako.
4. Weka alamu(alarm) ambayo itakusaidia kukumbusha mda na saa ya kunywa maji. Mfano: kila baada ya dakika 30 unaweza kuwa unapata funda la maji mdomoni na kunywa.
5. Tumia maji kama mbadala wa vinywaji ulivyo zoea kuvitumia mfano soda na vinywaji vingine vya kusindikwa.
6. Kunywa glasi moja ya maji kabla haujaanza kula mlo wako wa mchana na jioni.
7. Badili ladha ya maji kwa kutumia matunda asilia au kitu chochote kisicho na kemikali za kutengeneza viwandani. Fanya hivyo kama harufu yake inakudhuru au kama ina kukera na kukufanya usipendelee kutukia maji.
USHAURI WA UTUMIAJI WA MAJI MWILINI.
1. Tumia maji kabla cha kula glasi 1-2 au masaa mawili baada ya kula chakula.
2. Usitumie maji ya baridi baada ya kufanya mazoezi mpaka pale mwili utakapo kuwa umepoa na kuacha kutoa jasho.
3. Kunywa maji funda dogo-dogo ili kuzuia kunigwa na funda la maji.
4. Kunywa maji ukiwa wima, umekaa kwenye kiti au ukiwa umesimama na siyo ukiwa umeinama ili kuongeza mteremko(“slope”) wa maji tumboni wakati wa utumiaji.
5. Hakikisha unavuta maji mdomo ukiwa umegusana na maji ili kuzuia kuingiza hewa tumboni.
6. Hakikisha haupungui wala kuzidi vipimo vya maji kulingana na uzito wako, shughuli zako, na mazingira yako.
MASWALI YANAYO ULIZWA MARA KWA MARA NA MAJIBU YAKE.
SWALI: 01
Je? Unashuriwa kutumia maji wakati gani wa kula.
JIBU:
Tumia maji kabla ya kula chakula angalau glasi 1-2.Kitendo hiki husaidia:-
▪︎Kulainisha na kuandaa mfumo wa chakula kabla ya kula chakula.
▪︎Husaidia kupunguza uwezekano wa kupata vidonda vya tumbo.
▪︎Husaidia kupunguza uzito kwasababu husababisha tumbo kujaa/kushiba mapema na kupunguza kiwango cha uhitaji wa chakula mwilini. Chakula kikizidi mwilini husababisha kutengeneza chakula cha ziada ambacho husababisha kuongezeka kwa unene wa mwili.
Haushauriwi kutumia maji wakati wa kula.
Ufyonzwaji wa virutubisho kwenye mfumo wa chakula huchukua mda kukamilisha mchakato wake hivyo haishauriwi kutumia maji ya kunywa ukiwa unakula ili kuongeza mda wa ufyonzwaji wa virutubisho kwenye mfumo wa umeng'enyaji wa chakula sehemu zenye “vill”
Tumia maji kuanzia masaa mawili baada ya kula.
Baada ya masaa mawili ya kula chakula, chakula kinakuwa kimeshafyonzwa kwenye mfumo wa chakula na kuanza kutumika hivyo unashauriwa kutumia maji ili kurahisisha usafirishaji wa virutubisho vilivyo fonzwa kwenye “vill” zilizo kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
SWALI: 02
Je? naruhusiwa kuoga maji ya moto au baridi.
JIBU:
Matumizi ya maji hutegemeana na uhitaji wa mwili.
Mfano: 01.
Kwa mtu mwenye maumivu ya kichwa akioga maji ya baridi humsaidia kupunguza maumivu ya kichwa kwa kuupoza mwili(“cooling effect”).
Mfano: 02.
Kwa mtu mwenye msongo wa mawazo pia humsaidia kuepuka tatizo hilo akioga maji ya baridi.
Mfano: 03.
Kwa mwanaume ni vyema kutumia maji ya moto au uvuguvugu wakati wa kuoga amabayo husaidia kuongeza mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi kabla ya tendo la ndoa na kumuwezesha mwanaume kuweza kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.
Maji ya baridi siyo mazuri sana kwa kuogea kwa mwanaume hususani kipindi au wakati wa baridi kwasababu maji ya baridi yanaweza kusababisha kushuka kwa joto la viungo vya uzazi ambavyo hushughulika na kuzalisha na kutunza mbegu za kiume.
Viungo hivyo hufanya kazi kwenye mazingira ya nyuzi joto 20-40.
Hivyo basi joto likishuka zaidi ya nyuzi joto 20 au kupanda zaidi ya nyuzi joto 40 husababisha kuathiri uzalishaji na kuua mbegu za kiume.
JE unachangamoto yeyote kuhusu masuala ya Uzazi
Ewe mwanaume musterbation(kujichua)
Imekufanya umeathirika wasi
Wasiliana nasi Kwa changamoto yoyote ya Afya
Maoni