UKUBWA WA UUME HUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI.

 Wanaume wengi ambao hutazama picha za ngono huamini mambo yafuatayo, ambayo kiuhalisia si sahihi...

AZMOH HERBAL

UKUBWA WA UUME HUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI.

●Wanaume wengi sana wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kutokana na changamoto mbalimbali, wamekuwa wakitafuta dawa za kuongeza uume kama wacheza video za ngono, wakidhani kuwa mwanaume akiwa na uume mkubwa ndio pekee utamridhisha mwanamke.

●Hii imekuwa ikifanya wanaume wengi sana kukosa kujiamini kwa uume wao mdogo, wakitaka kutafuta dawa ili kuongeza uume.

●Ni kitu kisichokuwa sahihi kabisa, "performance" yako ama muda utakao utumia kwenye tendo ndio hujalisha zaidi, hio itasaidia kumridhisha, tofauti na kuanza nguvu nyingi kuongeza uume, ambapo madhara huwa makubwa zaidi.

KUSHIRIKI KWA NGUVU KAMA NYATI.

●Wanaume wengi sana inapokuja kwenye tendo, huaminishwa kupitia picha za ngono kuwa, kushiriki kwa speed kubwa ndio hufanya mwanamke afurahie. Si sahihi sana.

Maana wanaume wale wengi hutumia dawa za kuboost uwezo wao, hivyo ukishindana nao utaathiri saikolojia yako.

●Mwanaume ukishiriki kwa speed sana kama wacheza video za ngono, itakufanya uwahi sana kufika, lakini pia utakuwa haugusi vizuri hisia za mwenza wako.

● inakuwa ni sawa na kuwa umepanga kutembea na mtu halafu kisha wewe ukaanza kukimbia, hapo inamaanisha kwa namna yoyote ile utamuacha nyuma, hivyo utafika wewe lakini yeye hatafika.

●Nenda taratibu, nenda kwa upendo. Kiukweli mwanaume ukiona unadhiriki halikadharika unawahi kufika kileleni hamu ya tendo la ndoa mwili kuwa mulegevu kuishiwa hamu kutamani usingizi

UNA HATARI ya kuibiwa mke ni mwili unao takiwa kufikishwa panapo takiwa Kama uwezo hauna una hatali ya kuibiwa MKE.


Maoni