TUJIFUNZE LEO KUHUSU FIGO YAKO

TUJIFUNZE LEO KUHUSU FIGO.
Figo ni kiungo ambacho kipo ndani ya mwili kikiwa na umbo la haragwe,
Figo inafanya kazi ya kuchuja damu na kutoa taka mwili pamoja na baadhi ya maji maji ili kutengeneza mkojo,pia figo inatoa nishati ya vitamin D,figo inafanya kazi ya kusawasisha kiwango cha maji mwilini nk.pia figo inakadiriwa kuchuja kiwango cha damu zaidi ya nusu glass kwa dakika 1.

Leo tujiulize maswali yafuatayo ,majibu tutakayo yapata yanaweza kutupa picha halisi kuwa figo zetu ni zenye afya Au lah!

Je unafanya juhudi gani kuhakikisha afya ya figo ipo sawa?
Je wewe ni mpenzi wa kunywa maziwa kila siku? Au kwa kiwango kikubwa ,vipi kuhusu Afya yako ya figo?
Je wewe ni mpenzi wa kunywa soda mara kwa mara ,vipi kuhusu afya ya figo yako?
Je wewe ni mpenzi wa kula nyama,vipi kuhusu figo yako?
Je wewe ni mpenzi wa kula pizza ,vipi kuhusu afya ya figo?
Je unafanya program ya kutoa sumu mwilini? Kama hufanyi vipi kuhusu afya ya figo yako?

Je wewe ni mgonjwa wa kisukari unatumia dawa zenye kemikali muda mrefu au umekata tamaa kutibiwa ? Fahamu leo upo kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa kufailure kwa figo.
Kama wewe ni mgonjwa wa shinikizo la juu la damu basi fahamu leo upo kwenye hatari ya kupata changamoto ya figo 
Kama wewe unachangamoto ya magonjwa ya moyo na ini pia upo kwenye hatari ya magonjwa ya figo.

Miongoni mwa viashiria ni kwamba
-mkojo kuwa na kiwango cha protein.
-kuvimba miguu 
-uchovu
-maumivu ya mgongo
-kukosa hamu ya kula
-mkojo kusumbua,kukojoa sana au kidogo.

Nini cha kufanya kuendelea kuokoa afya yako ya figo?
 Endelea kula vitu vifuatavyo kwa wingi
-mayai ya kuchemsha hasa ganda jeupe
-blue berries
-zabibu nyekundu
-samaki mchemsho
-vitunguu swaum
-olive oil.

Hivi vitu vyote vinapatikana kirahisi sokoni.

PIA TUNAPROGRAM MAALUM YA NATURAL ESSENCE (KIDNEY PACKAGE ) KUHAKIKISHA TUNABORESHA NA KUKINGA MAGONJWA YA FIGO..

Maoni