TUJIFUNZE KITU  JUU YA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO NA MADHARA YAKE

MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA.
  • Mvurugiko wa hedhi.
  • Kuumwa kichwa mara kwa mara.
  • Kuongezeka uzito.
  • Kupunguza hamu ya tendo la ndoa.
  • Kusababisha uvimbe kwenye kizazi.
  • Kukoma hedhi Kwa muda mrefu zaidi hata baada ya kuacha kutumia sindano.
  • Kusababisha Uric acid kwenye mfumo wa mayai hivyo inakuwa ngumu kwa mbegu za kiume kuingia kwenye yai la mama sababu hufa kabla ya kulifikia yai.

MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA.
  • Huathiri fuko la Uzazi kwa ndani na kusababisha uvimbe.
  • Kuongezeka uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga.
  • Kuumwa kichwa mara kwa mara.
  • Kutopata hedhi Kwa baadhi ya wanawake.
  • Kupunguza hamu ya tendo la ndoa.
  • Kusababisha matatizo ya hormone imbalance.
  • kusababisha hasira muda wote bila sababu.

MADHARA YA KITANZI.
  • Utokaji hovyo wa damu.
  • Kutoboa fuko la uzazi.
  • Kuongezeka kwa upana wa uke.
  • Kitanzi hupasuka na kusababisha UPASUAJI.
  • Kuondoa hamu ya tendo la ndoa.
  • Kusababisha maumivu wakati wa tendo la ndoa.

MADHARA YA KIJITI.
  • Husababisha Cancer.
  • Akili kuvurugika.
  • Shinikizo la damu.
  • Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
  • Kusababisha ukavu. uliopitiliza kwenye uke hivyo husababisha vidonda.
  • Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa.
  • Ukomo wa hedhi Kwa muda.

KWA USHAURI Kabla ya kutumia njia yoyote ya Uzazi wa mpango nenda hospital kapime kundi lako la damu hii itakusaidia kujua ni njia ili itakufahaa kutumia kwa ushauri wa doctor.

Acha kutumia njia za uzazi wa mpango kwa watu wasipokuwa na elimu SAHIHI ya uzazi aswa wahudumu wa pharmacy na maduka ya dawa hutakuwa una RISK kizazi, ndoa na maisha yako kwa ujumla.



MDA WAKO SAHIHI WA KUEREWA ILI JAMBO KWA MAKINI DALILI HATARI KWA MWANAMKE.

Kuna baadhi ya dalili ambazo wanawake huziona ni za kawaida na kuzipuuza lakini baada ya muda huona madhara makubwa yanayogharimu afya zao za uzazi.

       tuzitazame baadhi ya dalili ambazo hupaswi kuzipuuza pale zinapokutokea.

1. Kupata Maumivu makali chini ya
     kitovu yanayo ambatana na maumivu
     ya kiuno,

2. Kuhisi maumivu na hali ya
     kuchomachoma wakati wa haja
     ndogo

3. Miwasho sehemu za siri ndani au nje
     ya uke,

4. Kutokwa na ute ukeni usio wa
    kawaida, ute huu unaweza kuwa wa
    njano, mweupe, kijani, kahawia, au
    uliochanganyika na damu hizi ni dalili
    za maambukizi katika via vya uzazi,

5. Kupata maumivu makali wakati wa
    tendo la ndoa,

6. Kuhisi kama kuna kitu kinasukumwa
     kinachouma wakati wa tendo la ndoa,

7. Kutokwa na hedhi bila mpangilio,

8. Kupata maumivu makali sana wakati
    wa hedhi,

9. Kutokwa na damu ya hedhi yenye
    mabonge au nyeusi sana,

10. Kutokwa na damu ya hedhi mfurulizo
      bila kukata zaidi ya siku 7 na
      kuendelea,

11. Hedhi kujirudia ndani ya mwezi
       mmoja zaidi ya mara mbili au tatu,

12. Kutopata hedhi kwa muda mrefu
      wakati si mjamzito na bado
      hajafikia umri wa kukoma hedhi,

13. Kupata vipele vinavyouma na
       kuwasha sehemu za siri,

14. Kuvimba na kuwa mwekundu kati
       midomo ya nje ya uke, 

15. Uke kuwaka Moto.

 kitu gani ufanyeunapo ona dalili hizi?
wasiliana nasi namna ya kuondoa changamoto hiyo 

NIWAKATI WAKO SAHIHI UPONE MATATIZO YOTE

Maoni