SHIDA NA MAHANGAIKO KWA WAKIMA MAMA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO
Madhara ya utumiaji wa Njia za kisasa za uzazi wa mpango,
MATUMIZI YA VIDONGE
Endapo Kama unatumia au utatumia vidongejua madhara haya Utayapata.
⚡Huathiri fuko la uzazi nakusababisha uvimbe kwenye kizazi.
⚡kupata ugonjwa wa moyo.
⚡kupunguza hamu yatendo landoa.
⚡uvimbe katika figo.
⚡ Hupunguza Kinga ya mwilini (CD4).
⚡Utasa(kutopata mimba kabisa).
⚡kubadilisha mwenendo wa hedhi.
⚡kuongezeka kwa uzito wa Ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutungwa.
MADHARA YA KUWEKA KITANZI
💥utokaji ovyo wadamu(damu nyingi).
💥Kitanzi kufyatuka na kusababisha upasuaji.
💥Kitanzi kinaweza kujizamisha katika ngozi ya tumbo.
💥kutoa harufu mbaya ukeni.
💥kutopata au kuchelewa kupata mimba.
💥maumivu katika tendo landoa.
💥kuondoa hamu ya tendo landoa.
💥Kusababisha saratani.
MADHARA YA SINDANO
💥saratani ya matiti.
💥kifafa cha mimba.
💥kujaa maji mwilini
💥mabadiliko ya hedhi.
💥saratani ya mlango wa kizazi
💥kukosa mimba
💥maumivu ya magoti.
💥kichefu chefu.
💥Ugonjwa wa manjano.
💥kuongezeka kwa uzito au kupungua.
💥hasira za Mara kwa Mara.
KINGA NA USHAURI
Ili kujikinga na Madhara Haya makubwa Sana yanayowakumba Dada na Mama zetu leo. Ningewashauri kujikita zaidi katika njia hizi:
🍏Kuzingatia Kalenda (Mzunguko wako).
🍏Tumia njia za asili kupanga uzazi. Zamani hakukuwa na Njia hizi za kisasa lakini Wazee wetu wengi walizaa kwa mpangilio, Tena vizuri Kabisa.
Kumbuka; Haya Ni baadhi tu ya Madhara mengi yanayowapata Mama zetu kwasababu ya kutumia njia hizi za kisasa za kupanga uzazi. Na Madhara Haya Ni halisia ninyi Ni mashahidi huko mtaani Kuna Magonjwa hayakuwepo lakini baada ya akinamama kuanza kutumia njia hizi kumeibuka Magonjwa ya ajabu, Mara Saratani ya mlango wa kizazi, Ugumba, Fangasi, PID, UTI, Uvimbe kwenye kizazi, Miili yao inanenepa hovyo n.k. Baadhi ya Magonjwa haya yalikuwepo tangu zamani lakini mbona sasa yamezidi...?.
NB:
HUENDA UKAWA NIMHANGA WA HAYA MADHARA AMBAYO NIMESEMA HAPO JUU, KARIBU TUKUSAIDIE URUDISHE MATUMAINI MAPYA
Maoni