Sababu Zinazopelekea Uume Kusimama Kiulegevu.

Sababu Zinazopelekea Uume Kusimama Kiulegevu.


Uume Kuwa Mkubwa Kupitiliza (Urefu na Unene) 

Kwa Kawaida Mishipa ya uume ina ukomo wa uwezo (Limiting Capacity)

Hivyo Uume Ukiwa MKUBWA KUPITA KIASI cha Kawaida Inaweza Kupelekea Usisimame Vizuri.

Yaani Ukasimama Lakini Sio Imara (Strong Erection)

Na badala yake ukasimama kiulegegu (Weak Erection)

Hii ni kwa sababu uume unakuwa mkubwa kuliko uwezo wa mishipa kuuhimili.


Kulegea Kwa Mishipa Kunakosababishwa na Punyeto.

Wakati mwingine kinachopelekea hali ya uume kutokusimama imara ni madhara ya kujichua.

Hii ni kwa sababu, kadri mtu anavyozidi kujichua ndivyo anavyozidi kuiathiri mishipa ya uume na kuifanya ilegee.

Hususani kwa wale ambao hujichua bila kutumia kilainishi (Lubricants) chochote, yaani wanatumia mikono mitupu.

Mikono ni Migumu (Stiff) Hivyo Huweza Kuiathiri Mishipa Ya Uume inayoruhusu mzunguko wa damu.

Hivyo kuifanya isinyae na kwa sababu hiyo damu haipiti na kupelekea uume kulegea.


Mzunguko Mdogo wa Damu (Low Blood Pressure)


Zoezi la uume kusimama linahusisha pia ishu ya mzunguko wa damu.


Hivyo damu inatakiwa kusukumwa kwa kasi sana kwenda katika mishipa ya uume na kuufanya uume usimame vizuri.


Kama ikitokea msukumo wa damu ukawa mdogo ni wazi kuwa uume hauwezi kusimama imara na badala yake utasimama...lakini👇

Kinyonge Sanaaa!


Mtu wa jinsi hii hata asubuhi anaweza asisimamishe kama ilivyo kwa wanaume wengine kukuta mashine imesimama mara tu waamkapo.


Kukosa Kwa Hamu au Vichocheo Vya Sex  (Low Libido)

• Wakati mwingine uume husimama kulingana na kiwango cha hamu (nyege) alichonacho mtu.

• Hii ni kusema kwamba, kama hamu ikiwa kubwa na uume husimama imara na kama hamu ikawa ndogo uume husimama kiulegevu.

• Hamu inaweza ikawa tofauti kulingana na upataji wa sex, kwa mwanaume ambae anaweza sex mara kwa mara anakuwa hana ukame 

• Hivyo uume unaweza kusimama kiulegevu pia, ila akiwa na ukame unasimama vibaya mno!


Lakini pia hii inaweza ikawa ni kukosa hamu kabisa au kukosa hamu kwa mwanamke fulani tu.

Yaani.unakuta mwanaume akiwa na mwanamke A dude linasimama kikakamavu ila akiwa na mwanamke B dude linasimama kinyonge.

Maoni