P.I.D NINI,
DALILI ZAKE NI ZIPI,
MADHARA YAKE NI YAPI?
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.
P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS).
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni
1. NEISSERIA GONORNOAE
2. CHLAMYDIA TRACHOMATIC
MWANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D
-Kupitia ngono zembe
-Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja
-Kufanya mapenzi bila kutumia kinga
-Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono
-Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara
-Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba
-Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako
-Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)
- Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda MULFUU: *DALILI ZA P.I.D*
-Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa
-Uke kutoa harufu mbaya
-Kuwashwa sehemu za siri
-Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
-Uke kuwa mlaini sana
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuvurugika kwa hedhi
-Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi
-Maumivu wakati wa kukojoa
-Homa, uchovu na kizunguzungu.
MUONE DAKTALI TUNAPO ENDELEA NA KIPINDI CHA AFYA
UNAPO ONA DALILI ZA UGONJWA HUU WAHI KUPATA MATIBABU. KWANI UGONJWA HUU NI HATARI NA UNAWEZA KUKUSABABISHIA UGUMBA AU KANSA YA SHINGO YA KIZAZI.
Ugonjwa wa P.I.D unatibika vizuri kabisa hivy bas kama upo tayari unaumwa na umezunguka hospital bila mafanikio basi wasiliana nami kwa msaada zaidi kwa ajili ya matibabu.
UTE WA UZAZI NI NINI
UTE WA UZAZI tunaita (Abnormal Cervical Mucus) .
Ute wa uzazi anaoupata mwanamke pale anapokuwa katika kipindi cha upevushaji mayai ndiyo unaosaidia mbegu za kiume ziweze kusafiri hadi katika yai lililopevuka katika mrija wa uzazi. Kwa kawaida ute wa uzazi ni mwepesi na unavutika au unakuwa na mnato.
Matatizo ya uzazi yanayomfanya mwanamke asipate ujauzito husababishwa na kasoro katika uzalishaji wa mbegu za kiume na matatizo katika ute wa uzazi. Tunategemea mwanamke yeyote aliye kamili katika uzazi hupevusha mayai na dalili ya upevushaji huu wa mayai ni kuwa anatokwa na ute wa uzazi.
JINSI TATIZO LINAVYOTOKEA
Kupata ute wa uzazi usio wa kawaida kwa mwanamke humfanya awe mgumba, ute wa uzazi unapokuwa na tatizo husababisha mbegu za kiume zishindwe kupenya humo na kuogelea kwenda kurutubisha yai lililo tayari. Pia ute wenye matatizo huua au kuziharibu mbegu za kiume, hata mwanaume atoe mbegu zenye ubora namna:
Kuna Hizi Changamoto Ambazo Ndio Zinazo Wakabili Wanawake na Kuwatesa Mnoo
🔵Ugumba
🔵Kupata Hedhi au Kukosa kabisa(Hormonal imbalance)
🔵Uvimbe kwenye kizazi au Mfuko wa mayai,
🔵PID sugu
🔵Fungus sugu
🔵Saratani ya shingo ya kizazi,
🔵UTI sugu
🔵Saratani y Titi,
🔵Chango la Uzazi
🔵Kukosa Hamu ya tendo la Ndoa
🔵Kutokwa Damu Wakati au Baada ya Tendo la Ndoa.
🔵Miguu kuuma au kuishiwa Ute Ute Kwenye maungio,
Hizo changamoto zote zimejificha hapa Kwenye hivi vitu
💎 Kutumia njia za Uzazi wa mpango,
💎 Kutumia Dawa za kemikali Mara kwa Mara (Antibiotics/ant pain) e.t.c
💎 Kukutana kimwili na Mwanaume au Wanaume wenye Maambukizi ya zinaa,
💎Magonjwa Kama Kisukar
💎 Kutumia pombe Sanaa,
💎Kuanza Mahusiano na kukutana na Wanaume umri bado mdgo,
💎Unene kupita kiasi,
💎Kuto Kufanya mazoezi
💎 Kukaa na pedi siku nzima wakati wa periodi
💎 Kutumia Sana Vyakula vya kisasa,
💎Kumeza p2 Sanaa.
Hizo changamoto zote ukitaka kufanikiwa kuzitibu lazima utibu chanzo chake,
La sivyo utakuwa unapoteza muda wako na utajikatia Tamaa kwamba huponi mapema Sanaa,
Note
Suluhisho linalo weza kukufanya wewe ukarudi Kwenye matumaini Tena,
Mambo 6 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Kuziba Kwa Mirija Ya Uzazi Kwa Wanawake.
Kuziba kwa mirija ya uzazi ni hali ya kujaa maji kwenye mirija ya uzazi (fallopian tubes) ambako kunazuia yai kusafiri kutoka kwenye mifuko ya mayai (ovaries) kwenda kwenye mji wa mimba (uterus), maji haya kwenye mirija ya uzazi hulizuia yai lisiweze kupata mbegu za kiume za kulirutubisha na hivyo kumfanya mwanamke asipate ujauzito. Kuziba kwa mirija ya uzazi hujulikana kwa kitaalamu kama “Hydrosalpinx”.
Asilimia 20% mpaka 30% ya kesi za ugumba kwa wanawake (infertility cases) zinahusiana na mirija ya uzazi (tubal factor infertility).
Tatizo la kuziba kwa mirija ya uzazi linachangia asilimia 10% mpaka 20% kwenye changamoto za ugumba kwa wanawake.
Sababu Za Mirija Ya Uzazi Kuziba
Kisababishi kikubwa cha kuziba kwa mirija ya uzazi ni tatizo la maambukizi kwenye via vya uzazi ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Pelvic inflammatory Disease (PID). PID mara nyingi husababishwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile kisonono (gonorrhea) na pangusa (chlamydia).
Sababu zingine zinazoweza kupelekea kuziba kwa mirija ya uzazi ni pamoja na Magonjwa ya zinaa kama vile pangusa (chlamydia), kisonono (gonorrhea), michubuko au majeraha kwenye mirija ya uzazi kutokana na upasuaji, mimba kutunga nje ya kizazi (ectopic pregnancy) na kusababisha upasuaji hali ambayo hupelekea michubuko, hali ya kukua kwa uvimbe aina ya fibroid ambayo hupelekea kuziba nafasi ya mirija ya uzazi, mkusanyiko wa usaha au uchafu kutokana na maambukizi ya magonjwa kwenye mirija ya uzazi.
Dalili Za Kuziba Kwa Mirija Ya Uzazi
Kuziba kwa mirija ya uzazi ni hali ambayo huonyesha dalili zake kwa nadra sana.
Wanawake wengi hushindwa hata kutambua kuwa wana tatizo la kuziba kwa mirija ya uzazi mpaka pale wanapokuwa wakijaribu kutafuta ujauzito bila mafanikio.
Hata hivyo kwa baadhi ya wanawake hali hii inaweza kuonyesha dalili zifuatazo;
1) Maumivu makali wakati wa hedhi.
2) Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
3) Maumivu wakati wa kukojoa.
4) Kutokwa na uchafu ukeni.
5) Mirija ya uzazi kuvimba na kujaa maji.
6) Maumivu makali chini ya kitovu.
7) Maumivu ya nyonga.
Kumbuka: Hali ya kuziba kwa mirija ya uzazi kwa kawaida huwa haiathiri vipindi vya hedhi wala mzunguko wa hedhi zaidi ya kujitokeza baadhi ya maumivu au kukosa furaha.
Hata kama mirija yote miwili ikiwa imeziba haiwezi kuathiri vipindi vya hedhi.
Hata hivyo, magonjwa ambayo husababisha mirija ya uzazi kuziba yanaweza kuathiri vifuko vya mayai pamoja na ukuta wa mfuko wa kizazi, na kwa hali hii, vipindi vya hedhi lazima vibadirike badirike au kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi.
USICHUKULIE KAWAIDA KAMA NI WEWE
Ikitokea mwanamke anakaa miezi miwili ndio anaona hedhi au kila baada ya wiiki anaona hedhi si dalili njema kwa afya ya uzazi.
➢Hedhi kutoka kidogo sana,
kuna baadhi ya wanawake huona damu ya hedhi matone machache tu na inatoka chini ya siku tatu.
Wengi huona kama wanaepukana na usumbufu wa kubadili pedi hivyo huchukulia ni hali ya kawaida. Hii pia si dalili njema.
➢ Hedhi nyingi sana,
mwanamke ambaye anatokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi kiasi ambacho anabadili pedi zaidi ya tatu kwa siku na inatoka kwa muda mrefu zaidi ya siku saba hii nayo si dalili njema.
➢Maumivu makali wakati wa hedhi,
kuna baadhi ya wanawake hupata maumivu makali kiasi cha kulazwa na kushindwa kuendelea na majukumu yao ya kila siku, hali hiyo ni kiashiria cha matatizo katika mfumo wa uzazi.
JE,UNA DALILI ZOZOTE KATI YA HIZI HAPO JUU?
Inawezekana Ukawa Una Changamoto yoyote Ya Uzazi au Ya Kiafya na umehangaika kutafuta suluhisho la kudumu hujapata mpaka Sasa.
Je Tatizo La Uke Kuwa Mkavu . kwamwana mama..?
Napenda kuzungumzia hili Mara kwa Mara kutokana na Nitatizo linalowasumbua wanawake wengi sana kwa Sasa,homoni za mwanamke Husaidia Sana kuutunza uke na kusifanya tishu za uke kuwa zenye afya nzuri na kutengeneza unyevu unyevu wakawaida ukeni. Ikumbukwe kiafya uke lazima uwe na unyevu unyevu, na sio kiafya uke kuwa mkavu na hata kwenye suala la kushiriki Tendo la ndoa.
KUNA SABABU NYINGI ZINAPELEKEA HILI TATIZO
📌Moja ya SABABU kubwa zaidi Ni tatizo la homoni, (Estrogen) na hii homoni inaweza kushuka kutoka na matatizo mbali mbali Kama: Matumizi ya madawa ya uzazi wa mpango, pili kunyonyesha, tatu kujifungua mtoto, nne, Matatizo ya kwenye mfuko wa uzazi, kushuka kwa Kinga ya mwili, kukoma hedhi, Matumizi ya madawa yakuongeza homoni, Kutumia madawa makali na mafuta ukeni
📌Matatizo ya fangasi ukeni.
📌Maandalizi yasiyojitosheleza kabla ya Tendo landoa pia huchangia uke kuwa mkavu.
📌Msongo wa mawazo.
📌Kutokuwa na hisia wakati wa Tendo landoa pia huchangia Hili tatizo.
NB: kukauka uke katka umri wamiaka 45+ huwa nidalili au viashiria vya hedhi kukoma, chini ya huo umri nimatatizo yakiafya hasa hormonal imbalance
DALILI ZA UKE MKAVU.
📌Michubuko wakati wa tendo
📌Maumivu wakati wa Tendo la ndoa,
📌Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
📌Msongo wa mawazo.
📌Mzunguko wa hedhi kuvurugika.
📌Kutofurahia tendo la ndoa.
Huenda unatatizo hili na umetumia dawa nyingi na bado linakutesa, unakosa Amani ya ndoa, kila inapofika muda wa kushriki tendo la ndoa unakaa na kuwaza, piga simu ukiwa Tanzania Vijue Visababishi vya uvimbe Kwenye mfuko wa mayai (Ovarian cyst)
Maana ya Ovarian cyst
Hii Ni Hali ya sehem ya mfuko wa mayai kujitokeza vijimbe vidogo vidogo vyenye maji maji kwa ndani.
Mwanamke yeyote Yule ana mfuko moja wa mayai (ovaries) kila upande kulia na kushoto mwa uteri(uterus).
Ambapo kila mwezi yai moja huweza kupevuliwa na kushushwa Kwenye mfuko wa UZAZI (uterus ) kwa ajili ya urutubishaji,
Sababu kuu za Kuvimba kwa mfuko wa mayai
🔴 Tatizo la hormonal imbalance,Tatizo la hizi vimbe hutokea katikat ya umri wa kubarehe na Kukoma hedhi,Hii ni kutokana na sababu ya hormone ya progesterone na estrogen kuzalishwa kwa wingi.
Na sababu kubwa Ni pale mwanamke anapo kuwa unatumia dawa au vidonge vya UZAZI wa mpango hupelekea vijivimbe vingi kwenye mfuko wa mayai.
🔴 Magonjwa ya UZAZI.(PID) Mfano, kaswende, Gonnorrhea, fungus, N.k
🔴 Endometriosis,Hii ni Hali ambayo seli za ukuta wa uteri huweza kukua kwa Hali ya kiutofauti inayo pelekea kuanza kukua na kumeza yai ambapo hufanya kuwa uvimbe.
Vyakula ambavyo Ukila husababisha hizo vimbe
💎 Viazi vyeupe,
💎Mikate yenye rangi nyeupe
💎 Kutumia vyakula vilivyo tengenezwa kwa unga mweupe,
💎 vyakula vyenye sukarii kwa wingi,
Dalili za Vimbe Kwenye mfuko wa mayai (Ovarian cyst)
💎Kupata Maumivu makali upande mmoja wa mwili wenye vimbe hizo.
💎Kupata Maumivu kwenye nyonga,
💎 Hedhi kutoka mfululizo au Tareh tofauti tofauti,
💎Kupata Maumivu makali Tareh za hedhi.
💎 Kupata hedhi yenye mabonge mabonge ya damu.
💎Kupata Maumivu wakati wa tendo la ndoa,
💎Kupata vichomi na nyonga kukuza
Namna ya kuepuka Ovarian cyst
🌑 Epuka kutumia UZAZI wa mpango wa kisasa,
🌑 Kula vyakula vya asili ili kuhakikisha unapata Virutubisho mhimu zaidi,
🌑 Mwanamke Usivute sigara
🌑Kuwa na uzito sahihi na kama una uzito mkubwa hakikisha unapunguza,
Note
Tuna toa Tiba ya kuondoa Ovarian cyst na Uvimbe kwenye uzazi (Fibroids) Bila Kufanya upasuaji Na unapata matokeo mazuri,
Ambapo ndan ya Tiba hiyo Kuna products za kusawazisha hormone level na kufanya mfumo wa hormone unakuwa sawa Ukiwa Kwenye matibabu hayo Tunatoa Ushaur au elimu ya ulaji wa chakulaa buree kabisa"
Maoni