NJIA 10 ZA KUJITIBU TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI BILA KUTUMIA DAWA


NAMNA MBILI ZA KUJITIBU TATIZO LA MWANAUME KUWAHI KUFIKA KILELENI 

Non pharmacological treatment{matibabu yasiyo hitaji dawa}:Matibabu haya hupewa watu ambao wanahimili mpaka dakika tatu bila kutoa mbegu.

Pharmacological treatment{matibabu yanayohusu dawa}:Matibabu haya hupewa watu ambao hutoa mbegu ndani ya dakika moja baada ya kuanza kushiriki tendo la ndoa,watu hawa hushauriwa kutumia na mbinu zote mbili.

 TAFUATAYO NI MATIBABU YASIYOHITAJI DAWA.

1.Tumia condom
Condom ni moja ya tiba nzuri ya tatizo hili kwani hufanya kazi kwa kupunguza hisia kali za mapenzi mtu anazozipata pale ambapo hatumii condom.

Kandamiza perineum kwa kidole:Perineum ni eneo kati ya mkundu na korodani,ile sehemu ikikandamizwa na kidole huweza kuzuia kukojoa haraka wakati wa tendo la ndoa.

2.Punguza wasiwasi:
Hebu lifikirie tendo hili kama njia ya kujifurahisha sio njia pekee ya kutafuta kutoa mbegu, hii itakusaidia kuondoa mawazo ya kutafuta mbegu na kuchelewa kumaliza.

3.Fanya taratibu:
Picha za ngono zinadanganya sana watu kwamba kulala na mwanamke lazima ufanye kwa haraka haraka kama mbwa. HAPANA;ukifanya taratibu ndio njia nzuri ya kumfikisha mwenzako na wewe kuchelewa kufika kileleni.

4.Badilisha style
Ile style ya zamani ya kumlalia mwanamke kwa juu{missionary position} inaleta msuguano mkubwa kwenye kichwa cha uuume hivyo itakufanya ufike haraka sana.

Tumia style ya wewe mwanaume kutangulia chini afu mwanamke juu au kulala kwa upande wote mnaangalia upande mmoja hii itakusaidia sana kuchelewa

Toa mawazo kwamba unafanya ngono:Hebu jaribu kufikiria mambo mengine ya kikazi au masomo wakati unafanya tendo hilo,hii itakupunguzia hisia kali za mapenzi na kuchelewa kufika.

5.Fanya na kuacha
Hii ni ile hali ya kuzuia msuguano pale unapoona unakaribia kutoa mbegu kwa kama sekundi 30 kisha unaanza upya.Hakikisha haufiki“point of no return”.pointi ambayo huwezi kujizuia tena kumaliza.

Kandamiza sehemu ya shingo la uume:Hii sehemu ya shingo ya uume kwa chini ambayo ukiibana itakusaidia kuanza upya tena kihisia.Nimetumia shingo la uume kwasababu najua uume hauna mabega.

 6.Tumia kilevi: 
Unywaji wa pombe mfano bia mbili kwa siku kwa wanaume pombe hupunguza kidogo nguvu ya mishipa ya fahamu na kufanya mtu aliyekunywa kuchelewa sana kufika kileleni,[watu wanaokunywa pombe lazima mtakubaliana na hili] hivyo unaweza kunywa bia,wine au whisky nusu saa kabla ya tendo na kuondoa shida hii.


Matibabu ya kutumia Dawa Hizi hupewa iwapo tatizo lako ni kubwa sana na hizo njia hapo juu zimeshindikana

1.SEROTONIN REUPTAKE INHIBITORS.
mfano paroxetine na clomipramine zimefanya kazi nzuri ya kuzuia kufika kileleni haraka.

2.ANESTHETIC CREAM. 
hii hupakwa kwenye kichwa cha uume saa moja kabla ya tendo la ndoa kuzuia msisimuko na kufanya mwanaume achelewe kufika kileleni wakati wa tendo.

3.MAZOEZI.
 Kufanya mazoezi,mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri,kwa hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu.

Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye suala zima la kuwahi kufika kileleni. Hii hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu

4.VUTA PUMZI YA KUTOSHA. 
Pumua vizuri na kikamilifu, kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi na ndivyo ilivyo kwa habari ya viungo vya uzazi! Unapopumua vizuri na kwa ukamilifu,kiungo hiki hupata nguvu za ziada. Jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kufanya msuguano.

Kwa mfano unapofanya mapenzi inapofikia hatua unataka kukojoa stopisha kufanya na vuta pumzi ya kutosha

5.MAZOEZI YA KUKOJOA MKOJO.
Wakati unapokwenda kukojoa mkojo,fanya yafuatayo kojoa kwa sekunde mbili then stopisha mkojo,rudia tena kukojoa mjojo kwa eskunde tatu alafu stopisha tena. Fanya mara kwa mara kwa muda wa siku 14 hii pia yasemekana imesaidia baadhi ya watu LAKINI wa watu wenye tatizo la kibofu cha mkojo usijaribu hiii,may cause more problems

6.TEAM WORK. 
Mshirikishe mwenzako kikamilifu,kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika kikamilifu.

Ili kujifunza kujizuia kufika kileleni haraka,ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi.

Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili la kiaibu,kila unapohisi unataka kukojoa mapema,sema‘ngoja’na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda kidogo

MAANDALIZI YA KISAIKOLOJIA.
Maandalizi kifikra ni mabaya sana, kwa mfano upo ofisini na unajua jioni unakwenda kufanya mapenzi basi jitahidi usiwaze hivyo kabisa.

Hii ni mbaya saya maana hormones zinasogea karibu sana unaweza hata kuishia kwenye mapaja ya mwenzi wako. Hata kama una miadi na mwenza wako au unamwndaa mpenzi wako chukulia kama ni kitu ca kawaida sana.Au ukisha mseti mwenza wako jitahidi kusahau kama unakwenda kucheza huo mchezo siku ya hiyo.

1.MOVE.
Usiangalie movie za mapenzi yenye‘style’zenye kuchochea kufika kileleni haraka.

Ungaliaji wa movie za namna hii huchochea zaidi kupandisha ashki na mukari wa kufanya mapenzi ambapo unapokutana na mwenza hata kuingiza ni shida na huishia kwenye mlango wa uzazi wa kike. 

Hii ni kwa sababu kuongeza ari ya kuwaza tendo la ndoa pia inaongeza msisimko kiasi kwamba ukimgusa mpenzi wako tayari umekwishaachia hata kabla ya kuingiza.

2.THOUGHTS DIVERSION. 
Hii techniques inamaanisha kuhamisha mawazo,kwamba unapofanya mapenzi inapofikia hatua unataka kuachia stopisha alafu hamisha mawazo yako kabisa kwenye hilo tukio.

Unaweza kufikiria kitu kingine tofauti kabisa mfano unaweza kuwaza watu wanaokudai fedha na kadhalika,kuwaza kitu kingine cha kipumbavu ambacho kitakuondoa kwa muda kwenye eneo hilo just for one minute.

Then unaweza kuendelea kama ile haali ya kukojoa imepotea,ni ngumu sana lakini just try


STYLE ZA MAPENZI.
This is another killer for early ejaculation.Kuna baadhi ya style za mapenzi inapendekezwa kufanya baadha ya shoti ya kwanza ndo utumie.

Kwa mfano unapoanza kufanya na style ye mbuzi kagoma au chuma mchicha hapo unatafuta balaaa aisee hasa kwa wale ambao wameadhirika na tatizo la kukojoa mapema,hii ni kwasababu style hiyo inakuwa na msisimko wa hali ya juu sana ikimabatana na constriction kwa wote wawili na haitakuchua hata dakika ushaachia wazungu weupe. 

Hii ni kwasababu shoti ya kwanza huwa ipo karibu sana uilinganisha na shoti ya pili,tatu na kuendelea.

Natumaini kwa leo hizi technieque 10 zinaweza kukusaidia kwa namna fulani kutatua changamoto hii. 

Maoni