MWANAUME MWENZANGU NAJUA UNAPENDA KUWA NA UUME IMARA?.
Nimekuandalia Somo Hili Naiman utapata uponyaji Kama Ukichukua Hatua.
Wanasayansi wa tiba mbadala wamegundua Endapo mtu mwenye tatizo la Uume Legelege akatumia baadhi ya matunda kwa utaratibu maalum, huweza kumsaidia kuimarisha mishipa na misuli ya Uume kwa haraka zaidi.
Baadhi ya matunda hayo ni?
Ndizi
Ulaji wa ndizi mbivu husaidia kujenga uimara wa misuli ya uume na kuongeza ufanisi katika tendo la ndoa kutokana na madini yake ya Sucrose, Fructose na Glucose yanayo patikana kwenye Ndizi.
Tikiti maji
Tunda hili lina virutubisho muhimu kama vile Calcium, Magnesium, Carotene na vitamin lukuki ikiwemo A, B6 na C ambavyo kwa pamoja hutengeneza virutubisho muhimu ambavyo vinasaidia kuboresha mzunguko wa damu hivyo kurahisisha damu kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume.
Parachichi
Huzalisha Vitamin E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni zinazochochea kuongezeka kwa uimara wa misuli ya Uume na kuleta msisimko wa hali ya juu wakati wa kushiriki tendo la ndoa.
KUMBUKA
Bahati Nzuli Matunda haya Nilio yataja hapo juu! Ni matunda ambayo hayana Gharama Kubwa sana na yanapatikana Kwa wingi sana kwenye jamii zetu.
Kwa hiyo ni vyema tukajenga Tabia ya kuyala Kila siku, Yani Kwa muda wa mwezi mmoja utaona mabadiliko makubwa sana kwenye Uume wako na kwenye ushiliki wa Tendo.
Ingawa Wakati mwingine Matunda mengi tunayokula kwenye maisha yetu ya Kila siku Huwa yanaandaliwa kwenye njia zisizo Salama kama Uhifazi usiofaa, utumiaji wa kemikali Hupelekea matunda mengi kupoteza Virutubisho asilia kwa kiwango kikubwa Sana Maranyingi hupelekea Mtumiaji kula matunda haya bila Kupata matokeo mazuri Unayo itaji Kutokana na Virutubisho Vingi Kupotea kabla ya Tunda kuliwa.
Hivyo Basi Kwa kuligundua Hili Ndio maana Wataalam wa sayansi ya Mimea na Binadam walipo amua Kushilikiana na kuamua kutengeneza Bidhaa za Virutubisho Lishe kwa kuzingatia Viwango na Ubora ili unapotimia Uweze kupata Virutubisho Vitamin na madani Yote yanayo itajika kwa kikwazo Kinacho Stahiki ili kuimarisha Afya ya mwili na kila Kiungo kuwa na uwezo wake wa kufanya Kazi ipasavyo kwasababu Kiungo husika kinapata maitaji yake Mfano (umme) kuwa na uwezo wa Kufanya kazi Vzuli kwa kuimarisha cell,Misuli na Mishipa.
Kama hauna Uwezo wa kutumia Virutubisho Lishe. basi jinunulie Matunda haya kila Siku kula ikiwezekana unachanganya na Mengine kama vile Apple n.k
Ikiwa unaweza Kutumia Virutubisho Lishe basi Tumia Virutubisho Lishe kila Siku ili kujiweka vyema kila Siku Kwani ingawa Virutubisho Lishe mara nyingi Huwa na mchanganyiko wa virutubisho Vingi kwa Pamoja na huandaliwa kwa Ubora na kwakuzingatia Viwango.
Natumain umejifunza Neema na Baraka njema ziwe nawe Nakutakia mafanikio Mema
Wakati wako sahihi umefika
Maoni