"MWANAUME KUNA KITU CHA KUJIFUNZA HAPA"

● Wanaume wengi sana wanadhani kuwa changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume ni ugonjwa na ndio maana wengi wanakimbilia madawa ya Kuboost , hawaelewi kuwa ni changamoto za ki-mifumo.
● Mifumo ifuatayo isipofanya kazi zake vizuri sharti tatizo la nguvu za kiume likupate.

-Mfumo wa ufahamu 🧠 
-Mfumo wa mzunguko wa damu.
-Mfumo wa mmeng'enyo.
- Mfumo mzima wa Hormones n.k...

● Ukiona umepatwa tatizo la nguvu za kiume basi hiyo ni ishara kuwa kuna mfumo ama mifumo flani haifanyi kazi yake kwa ustadi. 

●Hivyo ni muhimu kuzingatia kujua chanzo kuliko kukimbilia tu kubugia madawa. 📌
    Changamoto huwa zipo nyingi sana zinazoweza kusababisha mwanaume kuwahi kufika mapema sana na uume kuwa legevu.

Sababu ni kama zifuatazo:
● kujichua:
    Mwanaume anayejichua, kutokana na kuwa anajisisimua mwenyewe huathiri sana uwezo wake wa ubongo kwenye suala la kushiriki tendo kwa ukamilifu,  
  
● kutizama picha za ngono:
    picha za ngono vile vile huathiri zaidi ubongo wako, vile unavyotizama video za ngono, hupelekea hatua ambapo ukikutana na mwanamke live, unakuwa hauoni maajabu sana maana ushazoea kutizama kwenye picha na hivyo kupelekea wanaume wengi kupoteza hamu ya tendo upesi, na kuwahi sana kumaliza.

● Kukosa muda mzuri wa kupumzika

● Lishe duni:
    kila tendo kuna nguvu inatumika, na katika kila bao kuna virutubisho unapoteza, sasa ukiendelea kula vyakula vya kawaida ili ushibe tu na sio kuimarisha afya yako inamaanisha siku za mbeleni ubora wako utapungua utake usitake.

● Magonjwa:
    Kuna baadhi ya magonjwa husababisha kuvuruga uwezo wa mwili kufanya kazi yake kwa ubora wake.
kama presha, kisukari n.k huzuia mzunguko mzuri wa damu kwenye via vya uzazi.

● Stress:
    humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa wasiwasi bila kujiamini, hata kama ubora wake upo. Hivyo ni muhimu sana kufanya jitihada za kukabiliana na stress, ili unapoingia kwenye hili tendo uwepo na akili yako ukiwa focused..

Maoni