MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA

Maumivu ya kiuno na nyonga (Lumbago) ni hali inayotokea mara nyingi na inayohusu misuli na mifupa ya upande wa chini wa mgongo. Hali hii huathiri takriban 40% ya watu kwa wakati fulani maishani mwao.


SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA (mifupa kwa ujumla)

πŸ›️kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo.

πŸ›️Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo.

πŸ›️Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo, 

πŸ›️mawazo (stress) nyingi 

πŸ›️kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya MTO.

πŸ›️kuteguka au mkazo wa misuli.

πŸ›️Unene wa kupindukia

πŸ›️ kuvuta sigara.

πŸ›️kunenepa wakati wa ujauzito.

πŸ›️mfadhaiko.

πŸ›️matatizo ya mwili.

πŸ›️mkao mbaya na kulala vibaya pia huchangia maumivu ya mgongo.


Wanawake wanaweza kuwa na maumivu ya kiuno kutokana na hali zinazoathiri mfumo wa uzazi kama

⛱️Matatizo ya hedhi

⛱️uvimbe kwenye mayai

⛱️saratani ya ovari au fibroidi ya uterasi. 

 ⛱️Matatizo ya kimwili yanaweza kuwa osteoathritisi, 

⛱️Ugongonjwa wa baridi yabisi (arthritis rheumatoid)

⛱️kuharibika kwa diski zilizo katikati mwa pingili za uti wa mgongo 

⛱️kuvunjika kwa pingili za uti wa mgongo (kama vile kufuatia osteoporosisi)

⛱️maambukizi au tyuma ya uti wa mgongo.


MADHARA YA MAUMIVU YA NYONGA NA KIUNO

⛱️Hupelekea kushindwa kufanya tendo la ndoa 

⛱️Hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili 

⛱️Hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia 

⛱️Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala.


ANGALIZO

Kuna sababu nyingi zinazopelekea maumivu ya nyonga na baadhi ya sababu hizi huashiria magonjwa hatari ni Vyema Ukafahamu Kwanza Chanzo Cha tatizo Kabla ya Matibabu.

Wasiliana nasi kwa ajili ya vipimo vya mwili mzima ili kujua changamoto yako ipoje.

Tunaendelea na elimu ya afya

Maoni