MAMBO 6 YANAYOZIFANYA MANII KUWA NA DAMU
Je, Manii Zenye Majimaji Zinaweza Kuathiri Uwezo Wa Mwanaume Kumpa Mimba Mwanamke?
Manii zenye majimaji mara nyingi huwa ni za muda tu na zinaweza kutoka zenyewe. Shahawa zinapoendelea kuwa zenye majimaji zinaweza wakati mwingine kuashiria mbegu kuwa chache au maradhi mengine ambayo yanaweza kuathiri uwezo wa mwanaume kumpatia mwanamke ujauzito.
Kuwa na mbegu chache hakumaniishi kwamba mwanaume ni mtasa/mgumba, lakini kunaweza kumfanya kushindwa kumpatia ujauzito mwanamke.
Shahawa zenye majimaji zinaweza pia kutokana na mambo ya mitisndo ya maisha, upungufu wa lishe mwilini, au magonjwa mengine.
Nini Maana Ya Kuwa Na Shahawa Kuharibika Rangi?
Manii zilizoharibika rangi wakati mwingine zinaweza kuashiria tatizo la kiafya. Manii zenye rangi ya pink, nyekundu au kahawia zinaweza kuwa na damu kutona na kuvimba kwa tezi dume au kuvimba kwa mirija inayosafirisha mbegu.
Visababishi vingine vya damu kwenye shahawa ni pamoja na:
- πShinikizo la juu la damu(high blood pressure)
- πMaambukizi ya magonjwa ya zinaa
- πMaambukizi kwenye tezi dume
- πSatarani ya tezi dume, korodani au mrija wa mkojo
Shahawa yenye rangi ya njano inaweza kuwa na mkojo au kiwango kikubwa cha chembechembe nyeupe za damu. Mwisho hutokea katika hali inayoitwa, “leukocytospermia(yaani uwezpo wa chembe nyeupe za damu Zaidi ya milioni 1).”
Shahawa zenye rangi ya ukijani zinaweza kuashiria maambukizi kwenye tezi dume au kwenye viungo vingine vya uzazi vya mwanaume.
Je, Ni Muda Gani Unapaswa Uonane Na Daktari?
Watu wenye hali ya kutokwa na shahawa zenye majimaji au zilizoharibika rangi wanapaswa waongee na daktari wa mambo ya uzazi. Pia, mwanaume anapaswa atafute ushauri wa kitabibu kwa ajili ya kutokwa na shahawa zenye majimaji au zilizoharibika rangi ambazo hutokea kwa dalili zifuatazo:
- π. Uchafu usio wa kawaida unaotoka kwenye uume
- π. Kushindwa kukojoa au kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
- π. Kuhisi maumivu kwenye korodani
- π. Maumivu kwenye tumbo la chini au kiuno
- π. Kuhisi homa
- π. Kuhisi kichefuchefu
Wanaume wanaotaka kubebesha mimba mwanamke wanaweza kuhitaji kupata ushauri kutoka kwa daktari wa mambo ya uzazi ikiwa kama hawajawahi kubebesha mimba mwanamke baada ya mwaka mmoja.
Ili kupima na kujua chanzo cha shahawa kuwa zenye majiamji au zenye rangi mbaya, basi daktari atamuuliza mgonjwa dalili zake, natabia ya mitindo yake ya maisha. Kama inawezekana, anaweza pia kufanya kipimo cha mwili.
Daktari pia anaweza kuomba sampuli ya shahawa, ambayo ataichambua kwa:
- π. Ujazo na uzito
- π. Utindikali
- π. Kiwango cha mbegu
- π. Mwendo wa mbegu, au jinsi gani mbegu zinavyoondoka kwa kasi
- π. Saizi na umbo la mbegu
MAMBO 7 YANAYO SABABISHA MANII ZA MWANAUME KUKOSA MBEGU.
Manii kukosa mbegu pale anapozitoa kitaalam tunaita, “azoospermia.” Vyanzo vyake ni pamoja na kuziba kwenye njia za uzazi, matatizo ya homoni, matatizo ya kufika kileleni, au matatizo kwenye korodani au utendaji kazi wake. Visababishi vingi vinatibika na uwezo wa mwanaume kumpa mimba mwanamke unaweza ukarejea. Kwa visababishi vingine inawezekana kurejesha mbegu zilizo hai kuweza kutumiwa katika kusaidia mbinu za uzazi.
Je, Azoospermia Ni Nini?
Azoospermia ni ugonjwa ambao unaonyesha manii kuwa hazina mbegu za kutosha. Kwahiyo kutokuwa na mbegu za kutosha humfanya mwanaume kuwa tasa.
Jinsi Gani Manii Zisizokuwa Na Mbegu Zinavyokuwa?
Karibia asilimia 1% ya wanaume wote na asilimia 10% hadi 15% ya wanaume walio tasa/wagumba wana mbegu chache.
Je, Ni Sehemu Gani Za Mfumo Wa Uzazi Wa Kiume?
Mfumo wa uzazi wa mwanaume umetengenezwa na viungo vya ajabu kama hivi vifuatavyo:
- π. Korodani
- π. Mirija myembamba inayojenga tishu za korodani(seminiferous tubeles)
- π. Mirija inayosafisha na kuhidhi mbegu(epididymis)
- π. Mirija yenye msuli(Vas deferens)
- π. Tezi za mrija ambazo huzarisha na kuhifadhi uteute(seminal vesicle)
- π. Njia ya kupitishia mbegu
- π. Njia ya mkojo
Wakati wa kufika kileleni, mbegu hutoka kwenye korodani na kupita kwenye mirija inayosafirisha mbegu na kuingia kwenye mirija ya msuli. Kule kujikaza kwa mirija hii husaidia kusukuma mbegu.
Uzarishaji wa manii huongezwa na uteute wa manii huendelea kusafiri kuelekea kwenye njia ya mkojo. Kabla ute haujafika kwenye njia ya mkojo, majimaji ya manii hupita kwenye tezi dume, ambayo huongeza majimaji kwenye mbegu yanayokuwa kama maziwa ili kutengeneza shahawa.
Mwisho kabisa, shahawa huachiliwa na kupita kwenye uume kupitia njia ya mkojo.
Idadi ya kawaida ya mbegu inakadiliwa kuwa milioni 15 au Zaidi. Wanaume wenye mbegu chache(oligozoospermia au oligospermia) huwa wa kuwa na mbegu chache chini ya milioni 15. Kama ukiwa na mbegu chache, basi huna mbegu za kutosha unapofika kileleni.
Je, Kuna Aina Tofauti Za Mbegu Kuwa Chache?
Kuna aina mbili za mbegu kuwa chache:
1. Obstructive Azoospermia: Aina hii ya mbegu kuwa chache inamaanisha kwamba kuna kizuizi au kutokuwa na muungano kwenye mirija inayosafirisha na kuhifadhi mbegu kwenye njia za uzazi. Unazarisha mbegu lakini zinazuiliwa zisionekane kwahiyo hakuna mbegu kwenye manii zako.
2. Nonobstructive azoospermia: Aina hii ya mbegu kuwa chache inamaanisha una mbegu kidogo sana au hakuna kabisa uzarishaji wa mbegu kutokana na madhaifu yaliyopo kwenye utendaji kazi wa korodani au sababu zingine.
Je, Nini Husababisha Mbegu Kuwa Chache?
Chanzo cha mbegu kuwa chache kinahusiana moja kwa moja na aina za mbegu kuwa chache. Katika maneno mengine, vyanzo vinaweza kutokana na kuziba kwa mirija au kutokuzarishwa kwa mbegu.
Vizuizi vinavyosababisha mbegu kuwa chache mara nyingi hutokea kwenye mirija inayosafirisha mbegu. Matatizo yanayoweza kusababisha kuziba katika maeneo haya ni pamoja na:
- π. Uvimbe au makovu kwenye maeneo haya
- π. Maambukizi
- π. Uvimbe
- π. Upasuaji kwenye eneo la nyonga
- π. Kuendelea kwa vivimbe maji
- π. Kukatwa kwa mirija
- π. Magonjwa ya kurithi yasababishayo mirija ya mbegu kuziba.Je, Ni Sehemu Gani Za Mfumo Wa Uzazi Wa Kiume?
Mfumo wa uzazi wa mwanaume umetengenezwa na viungo vya ajabu kama hivi vifuatavyo:
- π. Korodani
- π. Mirija myembamba inayojenga tishu za korodani(seminiferous tubeles)
- π. Mirija inayosafisha na kuhidhi mbegu(epididymis)
- π. Mirija yenye msuli(Vas deferens)
- π. Tezi za mrija ambazo huzarisha na kuhifadhi uteute(seminal vesicle)
- π. Njia ya kupitishia mbegu
- π. Njia ya mkojo
Wakati wa kufika kileleni, mbegu hutoka kwenye korodani na kupita kwenye mirija inayosafirisha mbegu na kuingia kwenye mirija ya msuli. Kule kujikaza kwa mirija hii husaidia kusukuma mbegu.
Uzarishaji wa manii huongezwa na uteute wa manii huendelea kusafiri kuelekea kwenye njia ya mkojo. Kabla ute haujafika kwenye njia ya mkojo, majimaji ya manii hupita kwenye tezi dume, ambayo huongeza majimaji kwenye mbegu yanayokuwa kama maziwa ili kutengeneza shahawa.
Mwisho kabisa, shahawa huachiliwa na kupita kwenye uume kupitia njia ya mkojo.
Idadi ya kawaida ya mbegu inakadiliwa kuwa milioni 15 au Zaidi. Wanaume wenye mbegu chache (oligozoospermia au oligospermia) huwa wa kuwa na mbegu chache chini ya milioni 15. Kama ukiwa na mbegu chache, basi huna mbegu za kutosha unapofika kileleni.
Je, Kuna Aina Tofauti Za Mbegu Kuwa Chache?
Kuna aina mbili za mbegu kuwa chache:
1. Obstructive Azoospermia: Aina hii ya mbegu kuwa chache inamaanisha kwamba kuna kizuizi au kutokuwa na muungano kwenye mirija inayosafirisha na kuhifadhi mbegu kwenye njia za uzazi. Unazarisha mbegu lakini zinazuiliwa zisionekane kwahiyo hakuna mbegu kwenye manii zako.
2. Nonobstructive azoospermia: Aina hii ya mbegu kuwa chache inamaanisha una mbegu kidogo sana au hakuna kabisa uzarishaji wa mbegu kutokana na madhaifu yaliyopo kwenye utendaji kazi wa korodani au sababu zingine.
Je, Nini Husababisha Mbegu Kuwa Chache?
Chanzo cha mbegu kuwa chache kinahusiana moja kwa moja na aina za mbegu kuwa chache. Katika maneno mengine, vyanzo vinaweza kutokana na kuziba kwa mirija au kutokuzarishwa kwa mbegu.
Vizuizi vinavyosababisha mbegu kuwa chache mara nyingi hutokea kwenye mirija inayosafirisha mbegu. Matatizo yanayoweza kusababisha kuziba katika maeneo haya ni pamoja na:
- π. Uvimbe au makovu kwenye maeneo haya
- π. Maambukizi
- π. Uvimbe
- π. Upasuaji kwenye eneo la nyonga
- π. Kuendelea kwa vivimbe maji
- π. Kukatwa kwa mirija
- π. Magonjwa ya kurithi yasababishayo mirija ya mbegu kuziba.
Maoni