MAKUNDI YA DAMU NA CHAKURA CHAKE
KUNDI LA DAMU LA B
Kundi B la Damu, ni kati ya 13% tu ya watu Duniani.Tutazame sifa zake na namna linavyo athiri mmeng'enyo wa chakula.
SIFA ZA WATU WENYE KUNDI B LA DAMU
1. Hawa wako katikati, wanapenda kujishusha na kuwa wakawaida.
2. Ni watu wenye kujipa matumaini sana, wana huruma, Ila wanajipenda sana, lakini hawapendi kujiona.
3. Niwabishani, siyo wepesi wa kukubaliana na mada kirahisi rahisi, nikawaida yao kupinga jambo lolote hata kama liko sahihi.
4. Wengi wao wanapenda kuwa wana siasa, wana sheria, baadhi ni wana sayansi na wapenzi wa maswala ya tekinolojia.
FAIDA ZA KUNDI B LA DAMU
1. Mfumo wao wa mmeng'enyo wa chakula ni imara, unakubaliana na kila aina ya mazingira.
2. Mishipa yao ya damu siyo minene wala siyo myembamba, hivo hawapati magonjwa ya moyo kirahisi kama ilivyo kwa makundi mengine.
3. Nervous system zao ni za kati.
4. Wanaishi muda mrefu ukilinganisha na kundi AB na A.
HASARA ZA KUNDI B LA DAMU
1. Mfumo wao wa fahamu, na kinga za mwili huwa na kawaida ya kujishambulia hivo kuufanya mwili kupata magonjwa ya kiakili.
2. Pia wanapata matatizo ya Kuchoka choka, na kuumwa kwa mwili kutokana na nervous zao kukinzana zenyewe mwilini.
3. Wepesi pia wakupata kisukari type 1.
VYAKULA WANAVYO SHAURIWA KULA KUNDI B LA DAMU
1. Wanashauriwa kupata lishe bora.
2. Wanashauriwa kula nyama ya bata mzinga.
3. Wanashauriwa kula mboga mboga na nyama.
4. Matunda, kama pineapple (nanasi).
5. Wanashauriwa kula vyakula vya nafaka, vyakula vyote vya jamii ya mikunde, kwa kawaida niwapenzi wa cabbage.
VYAKULA AMBAVYO HAWASHAURIWI KULA KUNDI B LA DAMU
1. Hawashauriwi kula bisi, vyakula jamii ya karanga na maboga kwa wingi. (Wale kwa kiasi)
2. Hawashauriwi kula vyakula vya nafaka kama mtama.
3. Hawashauriwi kula Ice Cream, Chocolate na vingine vyenye kufanania hivo
.
VIRUTUBISHO WANAVYO SHAURIWA KUTUMIA KUNDI B LA DAMU
1. Wanashauriwa virutubisho kama, vitamins, Madini na Amino Acid kwa wingi.
2. Virutubisho kama Ginkgo, Licorice roots nk.
MAZOEZI WANAYO SHAURIWA KUFANYA KUNDI B LA DAMU
1. Wanashauriwa kufanya mazoezi ya kati (Pysical Exercise), mazoezi ya kiakili sana kuliko nguvu.
2. Mazoezi ya kutembea kwa muda mrefu ama kukimbia.
3. Kucheza tennis, kuendesha baiskeli, kuogelea na mazoezi ya kutumia vifaa tiba
Maoni