LIJUE TATIZO HATARI KWA WANAWAKE, MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONAL IMBALANCE)
Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni za Estrogen na progesterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.
VYANZO/SABABU ZA MVURUGIKO WA HOMONI
-Uwepo wa sumu mwilini
-Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)
-Umri ukienda sana
-Kukoma kwa hedhi
-Kutofanya mazoezi, na kutokulala masaa anayostahili kwa siku
-Uzito mkubwa
-Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
-Msongo wa mawazo
-Kula vyakula visivyo endana na Blood Group
-Upungufu wa lishe mwilini
-Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
-Utoaji wa mimba
-Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)
-Ongezeko ya homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti kama mwanaume)
"Bara (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa"
DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI
- Ukavu ukeni
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Kutoa jasho usiku
- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
- Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja)
- Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi
- Uchovu wa mara kwa mara
- Hasira za mara kwa mara
- Kukosa usingizi
- Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara
- Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula
- Ongezeko ya tumbo na nyama uzembe
- Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k)
- Maumivu ya viungo
- Upungufu wa nywele kichwani.
- Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)
- Kupata hedhi wakati wa ujauzito (progesterone ikiwa imezidi)
- Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea
- Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi
- Msongo wa mawazo na kukosa kujiamini
- Kusinyaa na kupauka kwa ngozi wakati wa siku za hedhi na wakati wa utumiaji wa njia za uzazi wa mpango
- Maumivu ya kichwa mara kwa mara
- Kuwa na tabia ya hamaki (kukosa utulivu)
- Kutokupata choo kwa wakati
- Misuli kudondoka
MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI
Pamoja na dalili nyingi tulizoziona tungependa wanawake waelewe vitu vifuatavyo hutokea iwapo atatumia njia za kisasa za uzazi wa mpango. Njia hizo husababisha
Saratani ya kizazi
CD4 kushuka
Sehemu ya uke kuwa baridi
Huchangia kwa 50% kufanyiwa upasuwaji (operation) wakati wa kujifungua
Huathiri mtoto atakayezaliwa
Huathri ubongo (inapunguza uwezo wa kufikiria)
Kutokwa na majimaji yenye harufu mbaya ukeni na magonjwa ya mara kwa mara.
Ukiendelea kubaki na dalili tajwa hapo awali kwa muda mrefu, kinga ya mwili itashuka kwa kiasi kikubwa na kusababisha madhara mengi kama yafuatayo:
-Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
-Mimba kuharibika mara kwa mara
-Kukosa mtoto au Ugumba
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
-UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara
-Kuzeeka mapema
-Kuziba kwa mirija ya uzazi
-Saratani
-Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)
UVIMBE KWENYE KIZAZI (FIBROIDS) NA SULUHISHO LAKE
FIBROID NI NINI?
Fibroid ni uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao huu uvimbe unaweza kuwa ndani ya kizazi (ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama
ya kizazi na nje kwenye ukuta wa kizazi.
Kuna aina kuu zifuatazo za fibroids:
1.Submucosal fibroids(ndani ya kizazi)
2.intramural fibroid(ndani ya nyama za kizazi)
3. Subserosal(nje ya kizaz)
Watu wafuatao wako hatarini kupatwa na ugonjwa huu fibroids
1.Mwanamke ambae hajawahi kupata mtoto mpaka umri mkubwa
2.miaka kuanzia kubarehe mpaka hedhi kukoma
3.kurithi
4.unene
5.kuingia hedhi mapema
Fibroids sio kansa ni uvimbe wa kawaida ambao unakua kwa kutegemea kichocheo cha estrogen hormone ndio maana kuanzia kubarehe mpaka kukoma kwa hedhi ndio wako hatarini. Na mara nyingi uvimbe huu huwaga unaongezeka
kukua sana hasa wakati wa ujauzito kwani vichocheo hivi huongezeka wakati huu kulinda makazi ya mtoto. Ni watu waliofikia kikomo cha hedhi hawapati fibroids.
Dalili za fibroids
1.Kutokwa damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi.
2.kutokwa na uchafu wenye kiaharufu mbaya au ambao hauna harufu lakini mwingi na mweupe.
3.maumivi ya kiuno hasa wakati wa
hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe..wengi hupata maumivu makali sana.
4.Tumbo kuuma sana chini ya kitovu.
5.hedhi zisizokuwa na mpangilio
6.maumivu wakati wa tendo la ndoa
7.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
8.maumivu makali wakati wa hedhi
Uvimbe unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo
1.Kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe unakandamiza kibofu cha mkojo
2.Mkojo kubaki kwenye kibofu cha
mkojo
3.Haja kuwa ngumu
4.miguu kuvimba
5.kupungukiwa damu
Jinsi fibroids zinavyoweza kuzuia kupata mtoto
1.Fibriods zikikua sana zinakandamiza
mishipa ya kupitisha mayai kutoka
kwenye mfiko wa mayai yaani ovari
2.Uvimbe pia unazuia yai
lililorutubishwa kujishikiza kwenye
kizazi..hasa submucosal fibroids
3.Pia huzuia mfuko wa kizazi kukaza kusukuma mbegu kwenda kwenye mishipa ya kupitisha mayai.
MATIBABU
1.Wanawake wengi wanafibroids ndogo ndogo lakini kwa sababu hazina dalili hahawezi kwenda hospitali na hawa ndo siku wakibeba ujauzito uvimbe unaongezeka kwa sababu ya vichocheo kuongezeka hivyo hawa watu Wanabainika wanapofanyiwa ultrasoudi ndipo wanakutwa navyo.lakini kitaamu hospitali hawatibu uvimbe wa namna hii
1.Uvimbe ambao ni mkubwa(kama inavyoonekana kwenye picha hapo) wenyewe
hutibiwa kwa namna zifuatazo (hospital)
A.Dawa ambazo ni gharama sana mfano donazol wengi masikini hawawezi kumdu kununua
B.Vidonge vya maumivu
C.Vidonge vya kuzuia damu kama tranexamic acid na dawa za uzazi wa mpango(COCs)
2.Njia ya pili ni operation nazo zipo operation aina nyingi inategemea na uvimbe ukubwa na wingi wake.
a.Myomectomy hii ni operation ya kuondoa uvimbe mmoja mmoja bila kuondoa kizazi kwa wale wenye uvimbe mmoja uko sehemu nzuri
b.Total abdominal hysterectomy. Hii operation unaondoa kizazi chote kama uvimbe umekaa vibaya na viko vingi.
Hebu jiulize kwa nini mpaka upate dalili ndo uanze kushughulikia au kutafuta Matibabu ? Kwa nini ubebe ujauzito huku una uvimbe kisa bado mdogo? Au kwa nini ukae na uvimbe kisa bado mdogo?
tambua uvimbe huu sio kansa hivyo ondoa hofu. Mbali na donazole ambayo ni ya gharama na haishauliwi itumiwe kwa mda mrefu ina sababisha mwanamke anakua na sifa za kiume.
UKIFANYIWA OPERATION USIDHANI UVIMBE UMEISHA UNAOTA PEMBENI HADI UTAKAPOWEKA VICHOCHEO SAWA.
Sasa suluhisho lako lipo tuna dawa
ambao imetengenezwa kitalamu katika mfumo wa vidonge na vimetengenezwa kwa mimea baada ya utafiti na majaribio ya kutosha na viwanda vya madawa vikubwa hapa duniani. Utapata suluhisho lako bila madhara kwani ni 100% naturally mimea ambayo
imefanyiwa research.
Hii dawa inaondoa uvimbe bila UPASUAJI na bila madhara kama donazol. Kama una ndugu au rafiki mwambie suluhisho lipo
na mshilikishe kuokoa afya yake.
MAWASILIANO ZAIDI FOLLOW PAGES ZETU
Maoni