Kwasasa Kumekuwa na Ongezeko kubwa Kwa tatizo la upungufu wa Nguvu za Kiume

 ■ Kwasasa Kumekuwa na Ongezeko kubwa Kwa tatizo la upungufu wa Nguvu za Kiume Kwa miaka ya Hivi Karibuni Tukilinganisha na miaka ya huko zamani!


■Na yote haya yamesababishwa na mabadiliko makubwa ya mfumo wa ki maisha ambao watu wengi wanajisahau (Hawafahamu), lakini pia technolojia imekuja na mambo mengi sana...

Mfumo wako kimaisha unaomaliza nguvu za Kiume ni kama:

●Unywaji wa pombe/ uvutaji wa Sigara 

-si mzuri kabisa  haswa kwa wale ambao huvuta kupita kiasi, mtu ambaye ni mlevi au anavuta Sigara hujiweka katika hatari ,ya kupata madhara mengi kama vile; magonjwa ya moyo,presha,kisukari, uzito kupita kiasi. Mara Nyingi Matatizo haya hupunguza Uzalishaji wa hormone ya Testosterone na huleta Matatizo ya Upungufu wa Nguvu


●Msongo wa mawazo

- Kuwa mtu wa kuishi na msongo wa mawazo muda wote au kuwa mtu mwenye Hofu na mashaka, tafiti zinaonyesha miongoni mwa waathirika wakubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni wale ambao wana stress nyingi au msongo wa mawazo hali ambayo huwapelekea kushindwa kufanya tendo la ndoa vizuri, maana ubongo unaotumika ndio huo huo 🧠.

●Matumizi ya baadhi ya dawa kuboost

-kuna baadhi ya dawa ambazo zina athari katika mfumo wa uzazi wa mwanaume İkiwa ni pamoja na booster kama Viagra, mkongo..nk.

●Punyeto/musturbation

-Kwa mwanaume ambaye anapiga puchu au punyeto mara kwa mara ndani ya kipindi kirefu huweza kuleta athari pia katika mfumo wako wa uzazi ikiwa ni pamoja na kupungua kwa nguvu za kiume.

●Kutofanya mazoezi

- Kutokana na mtindo wa ulaji wa maisha ya sasa mazoezi ni muhimu kwa mwili maana Husaidia sana kuboresha mzunguko wa damu na hivi ni Kwa kuwa yanasaidia sana kuondoa cholesterol mbaya mwilini.

●Kutopata mda wa kutosha wa kupumzika.

- Mwili unahitaji kupumzika na akili pia, kutokulala hupelekea homoni(cortisol) kuwa juu ambayo pia hupunguza hamu ya tendo la ndoa na kudhoofisha uwezo wa  uume kusimama.

●Kula vyakula visivyo na virutubisho kwa wingi

- Kula vyakula ambavyo havina virutubisho muhimu sana mwilini, kula wanga Kwa wingi na haswa ule ulio kobolewa  na kula  vyakula aina nyingi zilizopitia kwenye process ya  kemikali bila mpangilio mzuri ni mbaya sana.



■ KAMA UNASUMBULIWA NA CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, KUKAA NAYO HAITOKUSAIDIA.


KUWA HURU KARIBU TUZUNGUMZE KWA USHAURI ZAIDI.

Maoni