KAMA WEWE HUPATI UJAUZITO BASI NAOMBA KABLA YA YOTE NINA MASWALI KADHAA YA KUKUULIZA.
Nayo ni;
🪀.Je, mzunguko wa siku zako upo sawa, yaani haubadilikibadiliki?
🪀.Je, ulishawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango?
🪀.Je unapata maumivu yoyote ya tumbo chini ya kitovu?
🪀.Je unasumbuliwa na P.I.D au U.T.I?
🪀.Je unapata maumivu ya mgongo au kiuno au nyonga?
🪀.Je unapata maumivu ya tumbo wakati unakaribia kuingia period?
🪀.Je, unakosa ute ute sehemu za siri wakati wa tendo la ndoa?
🪀.Je, unapata mauimvu makali wakati wa tendo la ndoa au kutokwa damu baada ya tendo?
🪀.Je unakosa hamu ya tendo la ndoa?
🪀.Je unatatizo la mirija ya kuziba?
🪀.Je, una uvimbe kwenye kizazi kwakujua au kutokujua?
🪀.Je ulishawah kutoa mimba ambayo haikutolewa katika namna salama?
KAMA JIBU MOJA YA MASWALI HAPO JUU NI NDIYO BASI NDICHO KIZUIZI CHA WEWE KUPATA UJAUZITO
Chukua hatua.
Maoni