HUNA HISIA, HUNA UTE, UKE MKAVU, HUNA HAMU, HUFIKI KILELENI

 HUNA HISIA, HUNA UTE, UKE MKAVU, HUNA HAMU, HUFIKI KILELENI 


Kukosa ute,hisia n.k ni ishara ya kwamba homoni ya oestrogen,homoni ambayo ndio inahusika na masuala ya ute, hisia,hamu ya tendo n.k japo kuna wengine wameathiriwa kwa sababu za kijamii na tabia binafsi mfano ukeketaji, kujichua (kujisaga au kusagana),

kujihusisha na madawa ya kulevya,kuingiliwa kinyume na maumbile na msongo wa mawazo wa muda mrefu vyote hivi huwa chanzo cha mwanamke kukosa hisia.


Formula hii imewasaidia wengi kurejea katika hali zao

🌹Chukua bamia 4 kisha katakata na usage kwenye blenda kupata juisi yake au njia iliyo rahisi ni kuchukua karoti mbili na bamia nne kisha kusaga kwenye blenda.

🌹Ongeza maji nusu lita kupata juisi,unaweza kuweka sukari kidogo au kutumia asali kwa uasili zaidi.

🌹Kunywa glass yako ya juisi asubuhi kama breakfast na mchana baada ya kupata mlo wako.Sio lazima kuandaa juisi,bamia unaweza kuipika kama mboga ili mradi usiivishe sana.

Kama wewe na mumeo mnatafuta ujauzito basi nikikumbushe kuwa kinywaji kizuri kwa mume na mke ni Chai ya Iliki, Mdalasini,Tangawizi na Asali,chai ya namna hiyo huleta afya njema kwa wote haswa kama uzazi unaonekana mgumu kwa upande wenu

Iwapo mume una shida ya upungufu wa mbegu au nguvu za kiume,jitahidi kuongeza ulaji wa mbegu za maboga,kitunguu saumu,nafaka zisizokobolewa,tikiti na ndizi mbivu

Pia unaweza kuwa unachukua maziwa fresh ya moto na kutia kijiko kimoja cha unga wa msamitu na habat sawda kila asubuhi na usiku

Ikiwa mwanamke unahisi kuwa mkavu,hisia huna yaani kwenye mambo ya faragha (TENDO LA NDOA) ni kama unalazimishwa tu,jitahidi kuwa mtumiaji wa bamia,tembele,karoti,soya, tango,usikose parachichi kwa siku na uwe mpenzi wa kunywa maziwa fresh ya moto,kwenye kikombe cha maziwa ongeza kijiko kimoja cha unga wa soya au unga wa mrehani kila siku

Kwenye mlo wenu pia msisahau kuhusisha kachumbari kwan ina nguvu kubwa ya kukupa virutubisho vizuri kwa wakati mmoja.``` 

 Kadiri mnavyozingatia ndivyo mtapeana mrejesho mzuri ndani ya nyumba.

KAMA UNA CHANGAMOTO ZA UZAZI NA HUJUI NAMNA YA KUITATUA NA UNGEPENDA NIKUSAIDIE JINSI YA KUITATUA  NICHEKI INBOX AU WASILIANA NASI.

Maoni