HEDHI SALAMA NI HAKI YA KILA MWANAMKE
Nini maana ya hedhi salama?
⛱️Hedhi isiyo na miwasho.
⛱️Hedhi bila fungus.
⛱️Hedhi bila maumivu.
⛱️Hedhi bila kutokwa damu nyingi.
⛱️ Hedhi ambayo inakuwa comfortable.
⛱️Hedhi yenye mpangilio.
NI HEDHI Isiyokuwa na BUGHUDHA , KERO, Wala MAUMIVU
Je , Ntaipataje?
Hii Itategemea ' Je Anaenda Hedhi kwa siku ngapi unazoona Hedhi haswa na si matone?.
๐️Kwa mfano : Mzunguko ni kama huo wa 28 , 30 na 35/37~40 Unaweza Kuwa Mfupi au Wa Kawaida na Unaweza Kuwa Mrefu Zaidi .
๐️Na Kama akianza tare 10 ~13 siku nne baada ya hapo anaweza ongeza siku 2 ili kizazi kifunge Kabisa ... zinakuwa siku 6 Mwanamke amepumzika mzungukoni.
๐️Sasa baada ya hapo anaanza kuhesabu tena siku 5 hizi anakuwa free... alafu siku 9 zinazofata hizi zinakuwa za hatari na ktk hizi siku 9 unaweza jiongezea siku 2 tena au 3 za kujihakikishia usalama zaidi...
๐️Alafu zifuatazo ni free Mpaka aingie Kwenye *HEDHI* Nyingine na mzunguko huu tunauita KALENDA unaweza ukafanya kazi Vizuri Sana iwapo Mwanamke Yuko makini Yeye na Mwenzi Wake.
๐️Na Ikitokea kama ameharibu na Utaratibu , Hapo anakuwa Kwenye Uwezekano Mkubwa wa Kushika Mimba Isiyotarajiwa. .
๐️Ukitengeneza kalenda kwa kufata nilivyokueleza utagundua kuwa ktk siku zisizo za hedhi yaani ile siku uliyoanza kuhesabu baada ya hedhi pana siku 8 salama na siku 9 za hatari na ukijumlisha unapata nusu ya mzunguko wako wa 34/35. Kingine ni kuwa kwa mzunguko huu mrefu hata siku ya 8 baada ya hedhi unaweza shika mimba.
CHANZO CHA TATIZO LA MVURUGIKO WA HEDHI
⛱️Mtu kupata hofu , Furaha au woga na mabadiliko ya kisakolojia.
⛱️Uwepo wa uvimbe kwenye kizazi.
⛱️Matatizo katika mfumo wa homoni.
⛱️Matatizo katika vifuko vya mayai na tabaka la ndani la kizazi ni moja wapo ya chanzo cha tatizo hili.
⛱️Kuharibika kwa mimba Zisizo Julikana huchangia tatizo hili ambapo unapata damu bila mpangilio na maumivu makali. - Maambukizi sugu ya kizazi ni moja wapo ya sababu.
Dalili ya maambukizi sugu ya kizazi ni
⛱️ Maumivu ya TUMBO CHINI YA KITOVU mara kwa mara ambapo kila Ukipima Unaambiwa unaumwa U.T.I kumbe hauumwi U . T . I Bali ni Vaginal Infection , Haya ni Maambukizi Kwenye Kizazi.
Kwa changamoto mbalimbali za uzazi wasiliana nasi.
Maoni