Hatua za kujikinga na Uvimbe kwenye kizazi

 TUANAENDELEA NA SOMO LETU 

( Hatua za kujikinga na Uvimbe kwenye kizazi)

2️⃣Hatua ya pili : Kula kwa wingi vyakula vya kukusaidia kutibu na kupunguza makali ya uvimbe.: 

Vyakula hivi ni kama.

➡️Vyakula vilivyoandaliwa pasipo matumizi ya kemikali (organic foods),

 sababu ni kama tulivoona hapo juu kwamba kemikali hizi zilizosheheni kwenye dawa za kuua wadudu zinaharibu mpangilio wa homoni 

na kusababisha seli za mwili kukua ovyo bila mpangilio. Kuhusu matunda na mbogamboga basi hakikisha unaosha kwa maji ya uvuguvugu  hii husaidia kutoa kemikali za sumu zilizoganda kwa juu.

➡️Mbogamboga za kijani :

 mboga za kijani zina viambata vinavyoondoa sumu kwenye mwili . 

pia mbogamboga za kijani zina Vitamin K kwa wingi sana ambazo husaidia katika kuganda kwa damu na hivo kusaidia kwenye bleeding.

➡️Vyakula vyenye beta carotene kwa wingi na madini ya chuma:

 Mwili una uwezo wa kubadilisha beta carotene kuwa Vitamin A , na kazi ya vitamin A ni kujenga seli mpya zilizokufa na hivo kusaidia wenye fibroids.

Baadhi ya vyakula vyenye beta carotene kwa wingi ni

 Nyanya, karoti na spinach. Kutokana na kwamba fibroid husababisha wanawake kupoteza damu nyingi kwa wakati fulani hivo ni muhimu kutumia vyakula hivo

3️⃣Hatua ya tatu: Jaribu kutumia baadhi ya virutubisho kwa ajili ya kupungeza ukubwa wa uvimbe; 

hakikisha unapata ushauri wa daktari kabla ya kuanza kutumia virutubisho hivo

4️⃣Hatua ya sita: Jiepushe na mzingira hatarishi yenye sumu : 

mazingira yenye sumu mbalimbali kama za kuua wadudu kwenye mazao, kemikali kwenye vyakula vya viwandani kuzuia ili visiharbike, kemikali za kuua magugu, na

 kemikali kwenye sabuni na mafuta , vyote hivi huchangia kukua kwa uvimbe kwenye kizazi (fibroids) kwa kuharibu mpangilio wa homoni. 

5️⃣Hatua ya saba: Fanya mazoezi ya kutosha walau mara 3 kwa week:  

Mazoezi husaidia kuzuia kutokea kwa uvimbe kwenye kizazi. Mazoezi hurekebisha presha ya damu, kuimarisha kinga, na kubalansi homoni zako 

➡️Uvimbe unaweza kujirudia tena endapo vichocheo vinavyosababisha Uvimbe havita sawazishwa. 

Hivyo tumekuandalia program maalumu itakayokusaidia kuondokana kabisa na tatizo la uvimbe kwenye kizazi,  bila kufanyiwa Upasuaji


Kwa Ushari Na Matibabu Wasiliana na Dr sairas whatsap popote ulipo nikusaidie upate matibabu upone

Maoni