GPS SECURITY
Ni technology rahisi sana ambayo inaweza kukusaidia kujua kitu unachokitafuta kilipo.
MATUMIZI
✅Technology hii ni rahisi sana haina APP ambayo itakusaidia kulipia kwa mwezi
✅ Hii unaweza kumuwekea mtoto kwenye begi lake au kuiweka kwenye gari lako,Baiskeli,Wanyama no
✅ Hii ina Smaku maalum ambayo inaweza kuganga Inatimia laini za kawaida
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Hii unaichaji ambapo chaji yake inakaa zaidi ya Massa 96 .
Unaweka line ikiwa haina password au lock
Hakikisha unaweka pesa
Tutakupatia namba maalum kutokana na aina ya Device kisha hizo namba ukizipiga zitakutumia real time positioning, Geographically position nk
Maoni