Gout ni nini..?
Huu ni ugonjwa unaotokea pale Uric Acid ndani ya mwili inaposhindwa kutolewa nje hali inayopelekea kujikusanya chini ya ngozi (kwenye maungio) na hivyo kusababisha kuvimba na kupelekea maumivu makali sehemu hiyo.
CHANZO
Uric Acid inapozidi nakujikusanya kwenye vidole.
DALILI
☑️Maumivu ya ghafla hususani usiku
☑️Kuvimba, joto na uwekundu sehemu iliyoathiriwa.
WAHANGA
☑️Jinsia- wanaume zaidi
☑️Unene kupitiliza
☑️Urithi (historia ya ugonjwa)
☑️Matumizi yaa dawa zenye uric nyingi
☑️Walaji wengi wa nyama wana hatihati yakupata shida hii
☑️Unywaji wa pombe (huzuia uric kutoka nje)
☑️Ulaji wa vyakula vyenye purine nyingi
☑️Kuishi sana na madini ya lead kwa mda mrefu
☑️Matatizo mengine ya afya kama figo, ini, presha na kisukari.
TIBA NA AZMOH HERBAL CLINIC INAKUHAKIKISHIYA UPONYAJI
👉🏾Kupunguza ulaji wa nyama kama vile utumbo, maini, figo, kongosho, na ubongo
👉🏾Kupunguza ulaji wa samaki kama sangara, samoni, chewa n.k
👉🏾Kuacha pombe
👉🏾Kunywa maji mengi (2--4) kwa siku
👉🏾Kustawisha uzito
👉🏾Kupata chakula bora (balanced diet)
👉🏾Virutubishelishe.
Je hujawai kusikia au kuona mtu mwenye changamoto hii, baas msaidie.
Tunaendelea na kipindi Cha afya
Maoni