ELIMU YA AFYA JIFUNZE KWA KUZINGATIYA ELIMU YAKO YA UEREWA AU UONGEZEE UJUZI KWA KINGA NA KIASI UKIWA MUFANO KWA WENGINE.

mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone lakini mkurugenzi wenu wa mahospitali na madaktari wenu kashafunguka. Uzuri ni wewe tu kuamua unataka nini kwenye maisha yako maana suala la afya hasa kwenye kinga ya magonjwa yasiyo ambukiza siyo jukumu la Mungu wala Daktari. Wewe unafanya nini leo?

Ni vyema ukajua kuwa kila uamuzi ambao utafanya katika maisha yako kuna gharama fulani ambayo utalipia.

Mara nyingi ni vizuri kujua gharama ambayo inaambatana na maamuzi yako ili itakapohitajika kulipa usione kama ni changamoto kufanya hivyo.

Mara nyingi watu wanaogoga sana matatizo lakini vitu vinavyosababisha matatizo hawaviogopi kabisa.

Kwa mfano ukizungumzia suala na kifo yaani ukimwambia mtu unene ni mbaya sana kiafya na maisha yako atachukulia kawaida na urafiki utaendelea lakini mwambie "UNENE UTAKUUWA" huyo ni adui yako na atasema unamtilia balaa au 7namtishia na kumwogopesha maisha lakini afya haina siasa jamani usipochukua hatua haijalishi wewe ni nani kwenye ulimwengu huu na una mali nyongi kiasi gani wala hautafurahia maishana na mali zako

Umeweza kujenga majumba kwa matofari mengi sana lakini umeshindwa kujenga tofari moja tu la afya kwenye maisha yako dah inaumiza sana jaribu kujitafakari upya ujione kama upo sahihi alafu uamue mwenyewe kwakweli inaumiza sana😭😭

Mara zote kumbuka kuwa faida ya kufanya maamuzi katika maisha yako ni kubwa kuliko hasara utakayopata kama hutafanya maamuzi katika maisha yako

Kupanga ni kuamua 

TAASISI YA ELIMU YA AFYA  NIPENDE KUELEZEYA VYAKULA BORA AMBAVYO MKE ANAWEZA KUMPA MUME WAKE ILI KUMFANYA AWE NA NGUVU ( NGANGALI )

MATUNDA
Parachichi
Tango πŸ₯’
Tikiti maji πŸ‰
Ndizi 🍌
Berries
Makomamanga
KiwiπŸ₯
Zabibu
Boga

VIUNGO
Mdalasini
Tangawizi
Pilipili Manga
Karafuu
Kitunguu saumu
Binzari Manjano

MBOGA
Chines 
Kale
Brokoli πŸ₯¦

MIZIZI
Karoti πŸ₯•
Muhogo
Vitunguu

KARANGA NA MBEGU
Lozi
Walnuts
Karanga
Mbegu za Chia
Mbegu za kitani
Ufuta
Mbegu za maboga

ZITUMIYE KWA WINGI UNAPO BAHATISHA KUZIPATA

AFYA NI MATOKEO YA UBORA WA MFUMO WA KINGA YA MWILI IMMUNE SYSTEM(CD4)

*DR SAIRASI GAHUNGU* Nazungumzia kinga ya mwili inayotokana na lishe sahihi pamoja na mtindo bora wa maishaπŸ‡πŸ‰πŸŽπŸ‹πŸΌ‍♀️

πŸ“Œ Sizungumzii kinga zileeee ambazo hadi uchanje Chale na kufanya tambiko hapana hapana🀣🀣🀣


πŸ“Œ *Je mfumo wako wa kinga una nguvu kiasi gani?* Unajisikia vizuri mwenye nguvu au unakabiliwa na uchovu usio wa kawaida, maambukizi ya mara kwa mara?

πŸ“Œ Selenium ni moja ya madini muhimu sana kwenye kinga ya mwili pamoja na OGANI YA INI, ili liweze kufanya kazi katika kiwango cha juu. Ukosefu wa selenium kwenye mwili hupelekea kinga na ini kuwa rahisi kushambuliwa na kitu chochote.

πŸ“Œ Watu ambao hawapati madini ya selenium ya kutosha kwenye vyakula vyao wana hatari ya kupata maambukizi mara kwa mara na inawachukua muda mrefu sana kupona hayo maambukizi, hii ni rahisi kwa sababu virusi vinaweza kuzaliana ndani ya mwili kama hautumii au hauna madini ya selenium ya kutosha kupambana na maambukizi.

 A: MFANO WA KINGA YA MWILI. 

πŸ“Œ Kama nchi ilivyo na majeshi ya ulinzi na usalama, kwa ajili ya kulinda na kusimamia usalama wa Raia na mali zake vivyo hivyo mwili una mfumo wake wa kujilinda. 

πŸ“Œ Kinga ya mwili (CD4) ni sawa na askari jeshi wanaolinda nchi yao.

πŸ“Œ Wanajeshi wanahakikisha ulinzi, amani na usalama vinapatikana nchi yote ili kila mwananchi apate nguvu ya kufanya kazi na nchi ipate maendeleo.

πŸ“Œ Ni jukumu la serikali kuhakikisha wanajeshi hao wanapata nguvu kila siku na vifaa vya vita, ili waweze kupambana na adui kwa njia yeyote.

πŸ“Œ ```Vivyo hivyo ni jukumu la kwako kuhakikisha mwili wako unausaidiaje ili kujilinda dhidi ya maadui wanaodhoofisha kinga ya mwili wako, nasema wewe ndiye mwenye jukumu hilo na sio la Dr, mshauri wa afya, ni la kwako wengine ni wa kukusaidia tu ufanye hiki na kile```


B: UFAFANUZI WA KINGA YA MWILI

πŸ“Œ Ulinzi wa kwanza upo kwenye NGOZI na wa pili katika SELI NYEUPE

πŸ“Œ Ngozi ni ogani ya kwanza kwa ukubwa katika mwili wa binadamu huzuia vimelea vya magonjwa visiingie ndani ya mwili lakini vikiingia mwilini, kinga ya mwili hupambana na vimelea hivyo.

πŸ“Œ Kazi ya kinga ya mwili ni kuhakikisha kila kiungo kiko salama na kinafanya kazi ipasavyo ili binadamu aweze kuishi maisha marefu yenye siha njema.

πŸ“Œ Mwili hutegemeana hivyo ni rahisi kuwa na ugonjwa zaidi ya mmoja na hii hutokana na kinga ya mwili kudhoofika. Ni jukumu letu sote kuhakikisha kinga yetu ya mwili inauwezo wa kulinda viungo vyetu.

πŸ“Œ Kinga ya mwili inaweza kuongezeka au kupungua (kudhoofika). Huongezeka kupitia vyakula bora_ pia hupungua kupitia mrundikano wa takamwili (TOXINS) na ukosefu wa lishe sahihi mwilini pamoja na mtindo mbaya wa maisha.

πŸ“Œ Maradhi hayo yanatokana na kula vyakula ambavyo siyo sahihi kutokana na jinsi tulivyoumbwa.

πŸ“Œ Tuliumbwa na makundi tofauti ya damu, vivyo hivyo tunatakiwa kula vyakula vinavyoendana na makundi yetu ya damu. Chanzo cha magonjwa yote unayoyajua ambayo siyo ambukizi ni kutokana na vyakula vyetu vya kila siku na mfumo wa maisha tunaoishi.

πŸ“Œ Vyakula tunavyokula viko aina tatu (3).

✍🏿Kuna vyakula ukila vinaongeza kinga ya mwili, Kuna vyakula tukila vinabaki kuwa kama vyakula tu hatunufaiki chochote yaani tumbo linajaa tu, Kuna vyakula tukila vinakuwa sumu mwilini.``` 

πŸ“Œ Wewe ndiye mwenye kuamua kipi kiingie mwilini mwako na kipi hakitakiwi kabisa kwa gharama yoyote ile

πŸ“Œ Vyakula hivyo husababisha kinga ya mwili kudhoofika, kuharibu mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula na mzunguko wa damu
.

VITU VINAVYOSABABISHA KINGA YA MWILI KUDHOOFIKA

Tufahamu kwamba hamna tatizo lisilo kuwa na chanzo hata upungufu wa kinga mwilini kuna visababishi vyake na sasa twende pamoja kujifunza zaidi


1. Mfumo mbovu wa mmeng’enyo wako wa chakula 
Kama unasumbuliwa mara kwa mara na tumbo kujaa gesi, tumbo kunguruma, kutokupata choo au kuharisha inamaanisha kuwa kuna kitu hakijakaa sawa kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, kuna msemo unasema ,wewe ni matokeo ya unachokula

πŸ“Œ Kama mmeng’enyo wa chakula ni mbovu hautopata virutubisho kutoka kwenye mlo na lishe zako.

πŸ“Œ Ndiyo maana nasisitiza sana mtu kufanye *DETOX* , anza kwa kuzibua njia zilizogandamana na uchafu wa siku nyingi kupitia vyakula vyako, kemikali ya dawa mbalimbali ili upate kunufaika zaidi.


2. Matumizi ya pombe yaliyokithiri
πŸ“Œ Pombe aina yeyote siyo kitu cha kuleta afya, kama unauwezo wa kuiacha achana nayo, kama huwezi kuacha punguza utumiaji wa pombe, ujiwekee nidhamu mwenyewe na utii.


3. Kukosa usingizi
Kila binadamu anapaswa kulala masaa kadhaa kulingana na umri wake ili kinga ya mwili izidi kufanya kazi vizuri. Kuanzia miaka 26 – 64, wanastahili kulala masaa yasiopungua 7 – 9. Watu wazima kuanzia umri wa miaka 65 kuendelea wanapaswa kulala masaa yasiopungua 7 – 8.


4. Kukaa kwa muda mrefu 
(sitting too long is the new smoking, kills than HIV)


5. Ukosefu wa mazoezi
πŸ“Œ Mazoezi ni kitu muhimu sana ambacho binadamu yeyote anapaswa kukifanya. Kwakufanya mazoezi kunasaidia kuimarisha kinga ya mwili.


6. Uvutaji sigara
 licha ya kuandikwa nembo juu ya hiki kile kuwa UVUTAJI WA SIGARI NI HATARI KWA AFYA YAKO lakini bado mtu ndo kwanza anazidi kutumia, Kama unavuta sigara unashauriwa kuacha kabisa.


7. Matumizi ya makubwa ya sukari
 ambayo huenda kulisha bacteria wabaya mwili ambao ni chanzo magonjwa kwenye utumbo mpana. Sukari nzuri na salama kwa afya yako ni hii tunayoipata moja kwa moja kwenye matunda au vyakula kama viazi vitamu, muhogo. Watu wanakula sukari nyingi sana kuliko uhotajio wa mwili hebu fikiria mlo wako kuanzia asubuhi hadi jioni unapoenda kulala Breakfast chapati, andazi, mkate na Chai ya sukari tena na BLUE BAND, hadi hapo usishangae kukosa choo kabisa 
Mchana, ugali au wali au kande hapo unashushia na juisi moja ya BARIDI tena iliyoongezwa sukari au soda

Jioni, kama kawaida chapati za kumimina, au ugali au wali bado sijazungumzia chips kuku mtu wangu, pombe na mishikaki 

Njoo usiku sasa unakula saa tano au saa sita usiku na kurukia kitandani kupiga usingizi hapo unajimaliza mwenye


8. Msongo wa mawazo, hasira, kinyongo, saratani, HIV.

πŸ“Œ Mfadhaiko wa akili: stress za mara kwa mara na baadae husababisha madhara kama Kisukari, matatizo ya moyo, kupooza, shinikizo la damu, pumu n.k


9. Dawa za hospitali
Hii ni kutokana na kemikali zilizoko ndani ya hizo dawa, baada ya muda zinaathiri kinga ya mwili na utendaji kazi wa kinga. Tatizo sio dawa, ila tatizo ni kutumia dawa isiyolenga chanzo cha tatizo


NIWAKATI WAKO UMALIZE CHANGAMOTO YAKO UPONE

10. Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango 
mmh hapa napo kuna tatizo kubwa sana unakuta binti mdogo wa kidato cha kwanza tayari anatumia hizi dawa ili tu asilete aibu nyumbani ya ujauzito, hujui kwamba kufanya hivyo ndivyo unamharahishia mwanao kushiriki ngono kupitiliza kwa kigezo cha kwamba yuko na kinga?

11. Umri mkubwa
umri mkubwa inaweza isiwe shida sana kwani inategemea zaidi wewe ujanani mwili wako uliulisha kwa kiasi gani chakula sahihi. Ni kweli Kadri umri unavyoongezeka ndio kinga ya mwili inapungua. Kama una umri mkubwa ni vema ukaweka utaratibu au program ya virutubisho kwa ajili ya kuongeza, kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili ili uishi maisha yenye furaha na afya njema. Inakupasa ujali afya yako mapema.

12. Uzito uliopitiliza
Kuwa na Uzito kupita kiasi au kawaida ya uzito wako kinahatarisha Kinga zako mwili Kwa sababu damu huwa haitembei vizuri na uwezo wa mwili kuzalishwa seli mpya unakuwa mdogo na kupelekea kushuka Kinga mwili


MADHARA YATOKANAYO NA KUDHOOFU KWA KINGA YA MWILI

Kinga ya mwili inaposhuka mwili huwa katika hatari kubwa sana ya kukabiliana na madhara mbalimbali ikiwemo:

1. Magonjwa nyemelezi: mafua, homa, kifua, UTI, typhoid, malaria, uchovu usio wa kawaida

2. Urahisi wa mwili kupata magonjwa yasiyo ambukizi:

3. Mvurugiko wa Homoni, vimbe tumboni, vidonda vya tumbo, mvurugiko wa hedhi, Utasa au Ugumba, Uzito uliyokithiri, Kitambi na Heshima ya ndoa kupungua kwa wakina baba, Tezi dume, Kisukari, Figo na Ini kushindwa kufanya kazi, matatizo ya mapafu, Maumivu ya viungo, Ugonjwa wa macho, matatizo ya moyo, kupooza, Pressure, Matatizo ya ngozi na Menaupose, Kuzeeka kabla ya wakati, maumivu ya kichwa, kufunga kwa choo, Bawasiri – Hemorrhoids, Vidonda sugu (Vidonda visivyopona haraka), malaria sugu, kifua kikuu, mkanda wa jeshi

4. Urahisi wa Mwili kupata maambukizi ya virusi na bacteria sugu: HIV, UTI, Homa ya Ini , Aleji, muwasho wa ngozi


5. Kujaa takamwili mwilini: takamwili zikizidi hupelekea mlipuko wa magonjwa mwilini, na chanzo cha takamwili kuzidi mwilini ni kinga ya mwili kudhoofika.

A. Kufa kwa seli nyeupe katika mwili.

B. Mwili kuwa mdhaifu: Kuumwa mara kwa mara.


UFANYE NINI SASA ILI KUHAKIKISHA UNABORESHA NA KUIMARISHA KINGA YAKO YA MWILI?

Kinga ya mwili sio kitu cha kuimarisha kwa siku moja, ni suala endelevu, mwili unapambana kila siku ili uhakikishe una afya na usalama. 

Kinga yako ya mwili ikiwa bora na imara siyo rahisi mwili wako kushambuliwa na virusi, bacteria, fangasi. Jali kinga ya mwili ndiyo afya na usalama wako.

Kinga ya mwili wako ikiwa chini unajiweka kwenye hatari ya kushambuliwa na magonjwa kwa urahisi.

Kuumwa mara kwa mara ni dalili ya udhaifu wa kinga ya mwili, hii inamaanisha majeshi ya kulinda mwili yamezidiwa na vimelea vya magonjwa, hapo ndipo dalili za ugonjwa husika huanza kujitokeza.

UKIWEZA FANYA HAYA YAFUATAYO UWEZO WA KUPONA TATIZO LAKO UPO

1. Zingatia afya ya usingizi, fanya mazoezi, epuka matumizi ya kupindukia ya pombe, sigara au shisha, kunywa maji walau kwa siku lita 2. 5 hadi 3

2. Zingatia ulaji wa matunda na mboga za majani

3. Tawala hisia hasi, msongo wa mawazo, hofu, wasiwasi kumbuka hamna dawa ya msongo wa mawazo zaidi ya kukikabili kinacho kupelekea kuwa katika hali hiyo. Hivyo jiwazie mema, usipende kukaa na kinyongo na mtu, usipandikize chuki, wala usilipe kisasi. 

4. Zingatia ulaji sahihi tena ule mapema, usimalize kula na kukimbilia kitandani

5.Lala usingizi wa kutosha masaa 7_9

6. Fanya mazoezi kulingana na kundi lako la damu

7.Kula vyakula vya asili mbogamboga matumda nafaka isiyo kobolewa kulingana na kundi lako la damu

8. Balansi uzito wako kuwa na uzito unao endana na urefu na umri wako

9. EPUKA msongo wa mawazo (relax)

10. Epuka vyakula hatarishi vyote kwenye milo yako 


ULIVYO LEO NI MATOKEO YA ULICHOFANYA JANA AU SIKU ZA NYUMA

Kuwa makini

ZAIDI TUMIA HII PROGRAM YA BOOST YOUR IMMUNE SYSTEM

πŸ‘‰πŸ» Ni program ya virutubisho lishe vilivyotengenezwa kutoka kwenye vyakula mbalimbali kwa ajili ya kuongeza, kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili.

πŸ‘‰πŸ» Ni program ambayo inatumika kwa kila mtu japo nashauri zaidi upate ushauri kwanza kabla hujaamua kutumia

Program hiyo itakusaidia:

– Kuzalisha na kuongeza CD4 kwa wingi mwilini.

– Kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili.

– Kuongeza misuli, kuupatia mwili nguvu tosha na kukusaidia afya yako isizidi kudhoofika (kupungua ghafla uzito).

– Kuweka sawa mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula na mzunguko wa damu

– Kuupa uwezo mwili wa kuzalisha chembe chembe za damu mwilini.

– kusaidia ubongo kufanya kazi kwa haraka sana, akili kutochoka mapema.

– Kuboresha na kuimarisha mfumo wa macho.

– Moyo kufanya kazi vizuri na mzunguko wa damu kuwa sawa.

– Kuzalisha ute ute kati ya viungo: kukuepusha kupata maumivu au matatizo ya viungo.

– Kuweka sawa homoni (akina mama): kuwa na mzunguko sawa wa hedhi, mayai kupevuka, kuondoa ukavu ukeni na kutengeneza joto.

– Kurudisha, kuboresha na kuimarisha heshima ya ndoa

– Kusaidia ngozi izidi kung’aa na kuondoa machunusi, vipele na mikunjo itokanayo na kinga ya mwili kudhoofika.

– Kuweka mwili sawa ili ujiepushe na matatizo ya kiafya kama: saratani, kisukari, pressure, ini, ngozi kuharibika, UTI, kupooza, tezi dume, matatizo ya figo, Ini, viungo nk 

DAWA YA KUTOKOMEZA TATIZO LAKO UPONE

Kama ungependa kunishirikisha chochote wasiliana na daktari ukiwa Tanzania  niwakati wako sahihi umalize changamoto zako zote nakutumia mzigo kwa usafiri wa haraka na upesi una anza matibabu kwa kulingana na group lako la damu kupona moja kwa moja

Maoni