DALILI ZA P.I.D


 DALILI ZA P.I.D

kishakutana na tatizo hili Mara nyingi 

šŸ”„Hupoteza hamu ya tendo la ndoa

šŸ”„Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu

šŸ”„Kupata maumivu ya mgongo

šŸ”„Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya na miwasho

šŸ”„Utoko huu huambatana na harufu mbaya.

šŸ”„Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa

šŸ”„Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa ni maumv makali sana na yana umiza sana

šŸ”„Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi na hedhi kuto eleweka

šŸ”„Kupata homa

šŸ”„Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na Pia kutapika



Maoni