DADA ANGU njia sahihi ya kuonesha upendo wako kwa huyo kaka ni kumtii, kumsupport katika kutimiza malengo ayatamaniyo, kuwa msaidizi na mke mwema.
Njia sahihi ya kumwamisha kuwa wewe si kama wale wabaya ni kuishi maisha ya kiwango chake (ya kipato chake). Kumuombea, uwe faraja na kumbato lake katika nyakati zake.
Hata umpe nini kama hajihisi kupendwa ni kazi bure. Upendo ndio msingi wa yote mema. Mpende kiasi kwamba upendo wako ukiuhisi, akiuwaza, ukimuonesha abaki kulia na kumshukru Allah kwa uwepo wako katika maisha yake.
Maoni