ZIJUE SABABU 5 ZINAZOMFANYA MWANAMKE KUTOKWA NA DAMU UKENI BAADA YA TENDO LA NDOA


Kuna sababu nyingi kwa nini mwanamke anaweza kuvuja damu baada ya kufanya tendo la ndoa. Tatizo Hili kitaalamu tunaita "postcoital bleeding

Iwapo una wasiwasi kwa sababu unatokwa na damu ukeni baada ya kufanya tendo la ndoa, tafuta ushauri kutoka kwa daktari wa magonjwa ya uzazi. Watakuuliza kuhusu historia yako ya matibabu na kutathmini dalili zako. Kisha wanaweza kukushauri ikiwa matibabu yoyote yanahitajika.

Je, Nini Husababisha Tatizo Hili?

Zipo sababu nyingi zinazomfanya mwanamke kutokwa na damu ukeni baada ya tendo la ndoa, lakini nitakupa tano tu hapo chini, nazo ni:

πŸ‘‰. Maambukizi ukeni kama vile PID au magonjwa ya zinaa kama vile pangusa.
πŸ‘‰. Uke kuwa mkavu kutokana na mvurugiko wa homoni
πŸ‘‰. Michubuko ukeni kutokana na misuguano wakati wa kushiriki tendo la ndoa
πŸ‘‰. Kuvimba kwa mlango wa kizazi
πŸ‘‰. Saratani kwenye mji wa mimba.

Je, Vipimo Vinafanyikaje?

Kulingana na dalili zingine zozote na historia yako ya matibabu, daktari anaweza kupendekeza vipimo au uchunguzi fulani, kama vile:

πŸ‘‰. Kipimo cha ujauzito
πŸ‘‰. Kipimo cha nyonga kwa kuingiza kidole ukeni
πŸ‘‰. Kutazama mlango wa kizazi kwa kutumia kifaa kiitwacho speculum


Je, Nini Humfanya Mwanamke Kuhisi Maumivu Wakati Wa Tendo La ndoa?

Wanawake wanaweza kupata maumivu wakati au baada ya kushiriki tendo la ndoa, ama kwenye uke au ndani ya nyonga kabisa.

Maumivu katika uke yanaweza kusababishwa na:

πŸ‘‰. Maambukizi ya zinaa kama vile kisonono, au pangusa (PID)
πŸ‘‰. Mvurugiko Wa homoni na kusababisha uke kuwa mkavu
πŸ‘‰. Kutokuwa na hisia au hamu ya tendo la ndoa
πŸ‘‰. Misuli ya uke kubana, 
πŸ‘‰. Kuvimba kwa fibroid karibu na mlango wa kizazi

Je, Suluhisho Lake Ni Nini?

Azmoh Herbal  tunazo dawa nzuri kabisa zenye uwezo mkubwa wa kuondoa Vyanzo Vyake  

Maoni