NUKUU

 Wakati mwanaume anaendelea na utafiti huo wa kumuandaa mwanamke anatakiwa awe macho na atumie milango yake sita ya fahamu. Mwanaume anatakiwa atumie milango yote sita ya fahamu ili kujua ni maeneo gani anapoyagusa yanamfanya mwanamke ajisikie vizuri zaidi, na  yanamfanya asisismke. Pia ni maeneo gani akiyagusa yanamfanya ajisikie vibaya. Mwanaume anatakiwa apeleke uzingativu wake kwenye yale maeneo yanayomfanya mwanamke ajisikie vizuri. 

Kwa kawaida, maeneo Fulani yanaweza yakamfanya mwanamke Fulani ajisikie vizuri, lakini maeneo hayo hayo ukimshika mwanamke mwingine anajisikia vibaya au anakereka. Haitakiwi mwanaume akariri maeneo yanayoleta msisimko mmoja na kuyatumia kw amwanamke mwingine, hiyo si sawa.

Kwa hiyo mwanaume anatakiwa aachane na mazoea, wakati wa kumuandaa mwanamke na badala yake anatakiwa awe mvumbuzi. Kila siku mwanaume anatakiwa ahakikishe anavumbua maeneo mapya, milima mipya, mito mipya, mbuga mpya, bustani mpya, bahari mpya, …nk. Nilisema mwili wa mwanake ni kama dunia, hivyo mwanume hatakiwi atosheke na maeneo aliyoyagundua, kila siku anatakiwa agundue maeneo mapya yanayoleta msisimko kwa mwenzi wake. 

Je utajuaje kwamba sasa mwanamke yupo tayari kwa tendo la ndoa…..? Baadhi ya dalili utakazoziona ni: 

๐Ÿ‘‰. Mabadiliko katika upumuaji, 
๐Ÿ‘‰. Sehemu zake za siri kulowana,
๐Ÿ‘‰.Matiti, 
๐Ÿ‘‰. Kijasho chembamba kwenye ngozi. 

Lakini kwa kuwa wewe ni mvumbuzi, hakikisha unavumbua nyingine nyingi zaidi. Ukweli ni kwamba zipo nyingi mno, usikariri, kila mwanamke ana dalili zake, kuna uwezekano mkubwa zikatofautiana. Baada ya kuona dalili hizo, ndipo tendo linaweza kufanyika….. Kufika kileleni……..! Jambo la kwanza litakalokuwezesha kufika kileleni ni kufuta kwenye akili yako yale mambo yote hasi uliyoambiwa na jamii kwamba ngono ni mbaya, ngono ni dhambi, ngono ni uchafu. Anza kuiona ngono ni tendo takatifu, ni tendo la uumbaji, ni zawadi kutoka kwa Mungu. Kwahiyo hakuna ulokole unapokuwa kitandani!!!!๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Jambo la tatu ni kutoruhusu akili yako kuingilia wakati unafanya ngono. Kama kitanda kinapiga kelele, kiache kipige kelele, kama unajisikia kulia wakati unafanya ngono usijizuie, bali lia kabisa hata jirani asikie maana uko kwenye kazi ya uumbaji. Ukijisikia kupiga makelele, piga, usijizuie. Kama utajisikia kunyanyua miguu juu au mikono, usijizuie, wewe nyanyua tu. Uache mwili ufanye chochote unachotaka kufanya maana tayari homoni zinafanya kazi. Upo hapo !๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ




NUKUU

 Usiiruhusu akili yako kuingilia kwa namna yoyote wakati unafanya tendo la ndoa. Usiwe mshiriki na badala yake unatakiwa uwe mtazamaji. Unatakiwa uwe mshuhudiaji wa mwili wako na tendo lote kwa ujumla. Uwe kama mtu anayetazama mpira uwanjani na siyo mchezaji. Wakati unaendelea na tendo la ndoa usiiruhusu akili yako ikaanza kuwaza kwamba, huyu mpenzi uliye naye ni mzuri au mbaya, anajua mapenzi au hajui, leo nitafaidi au sitafaidi, sijui nitamridhisha, sijui nitaambukizwa ukimwi au magonjwa ya zinaa, sijui nitapata mimba, sijui kondom itapasuka, sijui kuna watu wanatuchungulia huko nje, sijui haya maumbile yake makubwa yataniumiza….. yaani akili yako inatakiwa ijiepushe na mawazo ya aina hiyo au yanayofanana na hayo. 

Kama akili yako imejaa mawazo ya aina hiyo, ni vigumu sana kufika kileleni. Ukweli ni kwamba huwezi kufurahia tendo la ndoa hata kidogo, sana sana utatoa manii tu basi. Na hili tatizo ndio linawafanya wengi hata mimba wanashindwa kupata maana wanashindwa kuzingatia vizuri na kujali.  

 NAPENDA NIISHIE HAPA, NIWATAKIENI MCHANA MWEMA WANANDOA WOTE NA WANAOTARAJIA KUINGIA KATIKA NDOA. 

 MUNGU WA MBINGUNI AWABARIKI SANA!

Karibuni wote wenye maswali! KIHUSU AFYA YA UZAZI

Maoni