MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUHAKIKISHA UNAJIWEKA MBALI NA MATATIZO YATOKANAYO NA MZUNGUKO WA DAMU


▶️Kuwa mtu wa kufanya mazoezi

▶️Punguza au achana na matumizi ya pombe na sigara

▶️Epuka kuwa na uzito uliopitiliza

▶️Tumia virutubisho lishe (muhimu)

▶️Kunywa maji ya kutosha na kula vyakula asilia matunda na mbogamboga 

▶️Punguza msongo wa mawazo 


PAMOJA NA KUZINGATI HAYO MAMBO PIA ZIPO NJIA AMBAZO ZINATUMIKA NA ILI KUSAIDIA KUKABILIANA NA MATATIZO YA MZUNGUKO WA DAMU

Kwanza kabisa kabla hata sijazizungumzia hizi njia nipende kutoa changamoto ya watu wengi hasa pale anapogundulika kuwa ana tatizo lolote la afya, 


Pengine huyu ndo wewe 


πŸ”°Changamoto ya watu wengi ni wepesi sana ni kwamba hawapendi kutafuta kisababishi au chanzo cha tatizo baada ya kubainika kwa tatizo lake. Bali huona faraja zaidi kutafuta dawa za chapuchapu na kitendo kimewafanya watu wengi sana kugharimu maisha yao kwani wamekuwa watumiaji wa dawa pasipo kupata matokeo ya kudumu 


πŸ”°Ili uweze kutatua tatizo lolote la kiafya hebu jitahidi kujua chanzo kwanza na baada ya kujua chanzo anza kuangalia namna ya kukiondoa kufanya hivi inakupa nafasi ya kitatua kiulani sana na hiyo itakusaidia tatizo lisiwe linajirudia.


 Njia zifuatanzo hutumika kwa sehemu kubwa


πŸ”°Medication ( kumeza dawa za kulainisha damu),  njia hii ni ya kwanza kabisa hutolewa kwa mgonjwa mara baada ya vipimo kuonyesha au kubainisha tatizo linalomkabili mtu. Dawa za kuyeyusha damu hutumika zaidi pale ambapo itabainika kuwa mgonjwa ana tatizo la damu kuganda na kuwa katika hali ya mabonge mabonge


πŸ”°Dawa za kutuliza maumivu na kushusha presha kama mgonjwa atakuwa na tatzio la presha ya kupanda


πŸ”°Changamoto ya njia hii hukusaidia kukupa ahueni ya muda mfupi tu kwani mara baada ya dawa hiyo kuisha nguvu maumivu hurudi tena na hivyo kuhitaji mgonjwa ameze dawa tena. Kwa mantiki hiyo mgonjwa usipokuwa na mtazamo wa tofauti itakulazimu kubadilisha dawa kuwa sehemu ya maisha yako. Yaani unatumia dawa kuwa chakula na sio chakula kuwa dawa


Operation (upasuaji), kwa sehemu kubwa sana njia hii hutumika hasa kama njia ya DHARURA yaani hutumika pale ambapo hali ya mgonjwa sio nzuri sana.


✍️ Hivyo endapo mtaalamu wa afya atajirithisha kuwa kwa njia pekee ya dawa haitaweza kuleta matunda mazuri basi hatua hii ndo hufuatia.


✍️ Hii ni njia nzuri sana kwani humsaidia zaidi mgonjwa kupata ahueni kwa muda mfupi. Japo kuwa njia hii ya kwanza na ya pili hulenga zaidi matokeo ya tatizo changamoto yake ni kwamba haziendi kupambana na kuondoa chanzo cha tatizo na ndio maana kuna baadhi ya wagonjwa wamefanya upasuaji kwa zaidi ya mara moja


✍️ Yaani ni sawa na kwamba unataka kung'oa kisiki cha mti hivyo badala ya kuchukua jembe na shoka achimbe mizizi na kuikata kata anachokifanya yeye anakata matawi ya mti akiamini kwamba mti ule utadondoka la hasha! 


Kumbe usipokata mzizi mti huo utaendelea kuchipua zaidi na zaidi, hali hii haitofautiani sana na namna ya kutatua tatizo lolote la kiafya.


SULUHISHO PENDWA JUU YA KUBORSHA MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU MWILINI BILA KUKUACHIA ATHARI ZINGINE ZA KIAFYA


πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»


PROGRM HII NI YA MUHIMU SANA KUBORESHA AFYA YA MZUNGUKO WA DAMU

πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»

CARDIAC DIET PROGRAM


Kwanini utumie hii program ya 

CARDIAC DIET PROGRAM DR SAIRASI NI SURUHISHO RAKO


✅ Kwanza kabisa hii ni zaidi ya dawa na ni zaidi ya chakula kwani program hii haibagui kwamba ukiwa huna tatizo au unatatizo bado unahitaji kutumia na ni heri zaidi ukatumia huku ukiwa na afya yako njema kwani itakulinda zaidi na kukuweka mbali sana na matatizo ya aina hii


✅ Hukusaidia kutua bila kukuachia kovu 


✅ Humwezesha mgonjwa kuepukana na hali ya kupatwa na kizunguzungu, kushindwa kupumua tunafahamu kwamba ubongo wako usipopata hewa yakutosha lazima utapata kizunguzungu kwani hewa ya oksijeni inahitajika


✅ Hukuondolea tatizo la kupungukiwa na damu mwilini, kwa baadhi ya wagonjwa wa moyo hukumbwa zaidi na upungufu wa damu mwilini hii ni kutokana na kuathirika kwa chembe hai nyekundu za damu kwani chembe hizi huhitaji hewa, na viini lishe ili ziweze kusisimka na zifanye kazi


✅ husaidia kuboresha mfumo wa uzazi kwani endapo mwanaume damu haitafika ya kutosha kwenye maungo yake. Inakuwa rahisi sana kushindwa kupata msisimko wa tendo la ndoa


✅ Husaidia kusafisha mafuta mabaya yaliyoziba mishipa ya damu


✅ Kuondoa athari za sigara na pombe hasa kwenye mishipa ya damu na mmeng'enyo wa chakula


✅ Kutanua mishipa ya damu iliyoathiriwa na tatizo la kisukari au presha 


✅ Kumbuka program hii unaweza kutumia hata kama wewe sio mwenye tatizo hilo ili kukupa kinga zaidi na inatumika kwa kila rika kuanzia ngazi ya mtoto hadi mzee. Na kwa yule ambaye anatatizo humsaidia kumpa tiba na kinga ili tatizo lisiwe kujirudia


Maoni