NAOMBA DAKIKA ZAKO 5 UNIELEWE ZAIDI KARIBU
Je, kuna njia ya uhakika ya kuponya kabisa kisukari na kuufanya mwili uweze kudhibiti sukari bila kutegemea dawa tena?.
Hili ni swali ninaloulizwa na wagonjwa wa kisukari.
Ni kweli...kwa mgonjwa wa kisukari kuamini kuwa anaweza kupona kisukari pamoja na madhara yote yatokanayo na kisukari mfano Gazi, matatizo ya macho, shinikizo la damu, kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi n.k.
Lakini ninachoweza kukuambia ni kwamba njia ya kutibu kisukari na madhara yake yote na kurejesha mwili wako katika hali yake ya awali sasa ipo ofisini kwetu...
Jinsi Mwili Unachakata Sukari
Kongosho ni sehemu ya mfumo wa usagaji chakula ambapo insulini ni kichocheo ambacho kazi yake ni kutoa glukosi kwenye damu na kuiingiza kwenye misuli, seli za mafuta na ini na kutumika kama nishati mwilini...
Je, inakuwaje mtu anapokula chakula kinachoongeza sukari kwenye damu......?.
Mtu ambaye hana tatizo la kisukari maana yake kongosho hutoa insulini na kwenda moja kwa moja kusindika sukari kwenye damu hivyo kufanya kiwango cha sukari kuwa kizuri...
Kwa mtu mwenye kisukari, ina maana kwamba kongosho lake halifanyi kazi ipasavyo
inakuwa haiwezi kutoa insulini kutokana na seli zinazopatikana kwenye kongosho kufa kwa wingi na kupelekea sukari kuwa juu.
wakati mwingine kongosho huweza kutoa insulini vizuri lakini chembechembe za mwili kushindwa kutambua insulini inayozalishwa na kongosho na hivyo kupelekea sukari kwenye damu...
Kama vile kuna vidole viwili vinavyofanya kazi pamoja kuvunja chawa, ndivyo ilivyo kwa kongosho na seli za mwili zinazofanya kazi pamoja kusawazisha sukari kwenye damu.
Nadhani mpaka hapo utawajua adui zako 👍🏼✋🏼
Adui mkubwa wa kisukari ni kongosho na seli za mwili ukiweza kutibu utasahau kisukari...
Najua utakua unajiuliza nawezaje kutibu kongosho usijali ndio maana leo nipo kukusaidia kutibu chanzo cha tatizo na sio tatizo lenyewe kwani wengi hukosea kukupa tiba hakumalizi tatizo halitibu...
iko hivi, leo kuna dawa nyingi ambazo watu wanadai zinatibu kisukari, yaani dawa za hospitali n.k.;
lakini karibu wote wanalenga kutibu kisukari badala ya kutibu chanzo cha tatizo...
Ndio maana wagonjwa wengi wa kisukari huishia kutumia dawa nyingi na kupoteza pesa zao bila mafanikio yoyote...
Ngoja nikupe mfano hapa, soma hatua ili uelewe, sisi *AFYA NI MTAJI* tupo kwa ajili yako...
kwahiyo ukikuta kitu kazi yake ni kutibu kongosho na kuimarisha seli za mwili utafanikiwa kutibu kisukari kabisa...
Tumekuandalia DAWA ASILI YA KISUKARI
Hata kama umejaribu tiba zingine huko nyuma bila mafanikio, basi dawa hii ni kwa ajili yako.
Ukianza kutumia dawa zetu ni tiba itakayokusaidia kutibu kongosho na kurekebisha utendaji kazi wa seli za mwili na kupona kabisa kisukari.
Unapotumia dawa zetu zitakusaidia
🔹 kuzalisha seli mpya (alpha cell) ambazo zimekufa kwenye kongosho, seli hizi ndizo zinazosaidia kongosho kutoa insulini.
🔹Kuimarisha ufanyaji kazi wa kongosho na kuimarisha seli za mwili, hivyo utapona kisukari kabisa.
🔹Huimarisha ufanyaji kazi wa homoni ya insulin mwilini kwa hiyo (Huhitaji tena kuchoma sindano za insulini au kumeza vidonge ili kuongeza homoni zako).
🔹Inaimarisha kinga ya mwili na uchakataji wa mafuta mabaya na sumu zote mwilini, hivyo utaondoa kiharusi na shinikizo la damu na pia kukukinga na magonjwa mengine hatari.
🔹 Itakusaidia kurekebisha mfumo wa uzazi ili uweze kufurahia tendo la ndoa na kuifanya ndoa yako kudumu na kuwa na furaha na maelewano.
🔹 Itakusaidia kukuondolea ganzi hivyo utalala vizuri kama mtoto mdogo usiku bila kusikia maumivu yoyote ya miguu au mikono.
🔹 Itakusaidia kuondoa matatizo ya macho, ili usione ukungu machoni mwako tena, utakuwa umeepuka kukuna macho na kuchoma sindano za gharama bila mafanikio.
Hebu fikiria utakuwaje ukimaliza changamoto ya kisukari!...huku nakuona ukitabasamu baada ya kufikiria utakavyokuwa,
Hutatumia tena dawa wala kuchoma sindano maisha yako yote, inafurahisha sana maana unywaji wa dawa kila siku unachosha na kuudhi sana
🔹Utakula vyakula uvipendavyo ulivyoviacha kwa muda mrefu, kwenye sherehe utachanga na kuhudhuria kwa furaha maana mtaweza kushiriki mlo pamoja, hata mkiwa safarini hutakuwa na mawazo ya kula nini...nk.
🔹Utakuwa umeokoa pesa nyingi ambazo ungetumia kutibu kisukari maisha yako yote bila mafanikio.
Utabaki peke yako na changamoto ya kisukari, ungana nasi kukusaidia...
Kwa hivyo ikiwa unahitaji matokeo mazuri fikiria kuchukua kiwango sahihi cha DOZI yako ...
Tunakuamini kwa sababu wewe ni mshiriki wa darasa letu, na tunafanya kila utafiti ili kukuletea huduma bora na sahihi kwa mtumiaji.
Maoni