MAUMIVU YA MIGUU

JEUNASUMBULIWA NA MATATIZO YA MIFUPA IKIWEPO MAUMIVU MAKALI YA MAGOTI (OSTEOPOROSIS)


Ni ugonjwa ambao husababishwa na maambukizo ya bacteria katika mfupa na misuli inayozunguka mfupa bacteria hao ni (staphylococci). 

Mara nyingi tatizo hili la mifupa hutokea ktk uti wa mgongo(mgongo kupinda na kuuma Mara kwa Mara), MAGOTI kuuma,nyonga na kifuani. 


SABABU ZINAZOSABABISHA MATATIZO YA MIFUPA (OETEOPOROSIS) 

  1. Magonjwa ya figo.
  2. Upungufu wa hormone za estrogen hii ni kwa wanawake hasa wale wenye` (MENOPAUSE) kikomo cha hedhi
  3. Upasuaji na kuondolewa (ovaries) mayai ya uzazi kwa wanawake
  4. ANOREXIA uzito mdogo kupita kias APA ni kwa wale wanaopenda sana kujinyima kula kupita kiasi wakikwepa kunenepa sana na kufanya mazoez`` kupita kiasi. 


KINGA  ZA MATATIZO YA MIFUPA.(OSTEOPOROSIS) 

  1. Epuka matibabu yeye kutumia kemikali
  2. Zingatia rishe bora haaa utotoni pia pendelea kula vyakula vya asili vyenye madini yakutosha yanayoimarisha MIFUPA
  3. Acha   au punguza  matumizi ya pombe
  4.  Fanya  mazoez ya kutosha na kunywa maji ya kutosha


ATHARI ZINAZOSABABISHWA NA TATIZO HILI

  1. Mifupa kuvunjika kwa urahisi.
  2. kupinda mgongo  wakati wa uzeeni
  3. Maumivu makali ya  Mifupa  hasa ktk uti wa mgongo,mabegani,kifuani na ktk nyonga


MATIBABU YA OSTEOPOROSIS

  1. kula kwa wingi vyakula vya vitamini D na vyenye madini ya calcium kama` maziwa ubuyu,n.k

Maoni