FAHAMU KUHUSU DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

 ✅Uume kusinyaa kila ukijaribu kufanya mapenzi au wakati wa tendo la ndoa au kukosa hamu ya kustahimili tendo la ndoa 

✅Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza round ya kwanza ya tendo au kushindwa kurudia round nyingine baada ya tendo na udhaifu wa kuweka geji wakati wa tendo la ndoa 

✅Udhaifu au maumivu wakati wa kutoa mbegu/manii wakati wa tendo la ndoa 

✅Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa baada ya kumaliza round ya kwanza ya tendo au baada ya kufanya mapenzi

 ✅Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi au kushindwa kuendelea kutokana na uchovu au kukosa nguvu ya kuendelea na tendo la ndoa 

✅Uume kusimama kwa udhaifu unapokua na mpenzi wako au akiondoka ndo unapata hamu ya kufanya mapenzi nayo ni dalili ya tatizo au upungufu wa nguvu za kiume 

✅Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tendo la ndoa au udhaifu wa kuendelea kufanya mapenzi 

✅Kushindwa kumuandaa mpenzi wako kutokana na hamu au woga kuhofia utafika kileleni kabla ya tendo la ndoa 

✅Kutoa mbegu hafifu na chache sana hadi kusababisha kushindwa kumpa mpenzi wako ujauzito. 


KUMBUKA: Hizi changamoto za nguvu za kiume zinakuwa kwa kasi sana kila siku unapochelewa kutafuta suluhisho 

MUHIMU:

 Usitumie dawa au booster, utajiharibu zaidi kwasababu hakuna dawa inatibu moja kwa moja. Tumia VIRUTUBISHO vinavyoenda kuujenga mwili na kuboresha mfumo wa uzazi moja kwa moja na kuwa mwanaume rijali💪 Usipotafuta suluhisho la hizi changamoto kwa wakati tatizo litakuwa sugu, mfano uume unalegea zaidi, round zinapungua zaidi, hamu itakosekana zaidi n.k na ukija kwetu matibabu yake yanaweza yakawa makubwa zaidi (ghali zaidi). 

Kwanini ufikie kote huko? ANZA LEO KUWEKEZA KWENYE AFYA YAKO YA UZAZI , EPUKA NJIA ZA MKATO. Chukua hatua zilizo sarama kwako kwa KUMUONA daktari kalibu yako  TUNAENDELEA NA SAYANSI YA ELIMU YA AFYA YA UZAZI



Maoni