MADHARA YA HORMONAL IMBALANCE

 MADHARA YA HORMONAL IMBALANCE KWA MWANAMKE- KUZIDI KWA HOMONI KICHOCHEO YA ESTROJENI ( ESTROGEN HORMONE ).


•Kwa Kawaida Homoni hii Inapoongezeka kwenye damu katika mwili wa mwanamke husababisha changamoto nyingi katika mwili hasa katika Via vya uzazi wa mwanamke na mwishowe kupelekea UGUMBA iwapo hatapata tiba mapema na ya uhakika.


• athari ya homoni ya Estrojeni inapokuwa nyingi (Kuongezeka) zaidi ya projesteroni . kitendo hiki kitaalamu huitwa HORMONAL IMBALANCE.


• Madhara hayo ni uvimbe kwenye kizazi ( FIBROIDS) na kwenye mayai(OVARIAN CYSTS),mvurugiko wa hedhi, uvimbe kwenye tezi ya shingo, mimba kuchoropoka, uvimbe kwenye ukuta wa mji wa mimba, Ugumba, n.k 


Hormone imbalance inaweza kujitokeza kwa dalili tofautitofauti katika mwili wa mwanamke. Mojawapo ni mvurugiko wa hedhi kwa mwanamke ambayo inaweza kujionesha katika makundi matatu ya watu:


♦️Kupishana kwa tarehe za hedhi (period) anozoingia mwanamke kila mwezi

♦️Mwanamke kuingia hedhi zaidi ya mara moja katika mwezi moja. 

♦️kutopata hedhi/ period zaidi ya mwezi mmoja ama zaidi.


 *Madhara hatari kwa mwanamke yeyote asipochukua hatua*


👉 kutoshika mimba


👉Uvimbe kutokea (fibroids cyst ambao hutokea kwenye mfuko wa kizazi


👉kuziba kwa mirija ya uzazi


👉Mimba kutoka au kuharibika


👉Maambukizi sugu ya uti na fangus 


👉Maumivu sugu ya tumbo chini ya kitovu Mara kwa mara


👉kutokwa kwa mabonge bonge ya dam wakat wa hedhi


👉 Maumivu makali wakat wa hedhi


👉 Maumivu makali wakat wa tendo la ndoa na mwishowe Kukosa hamu ya tendo la ndoa


N.B ni muhimu kulinda afya yako kwa kujikinga na tatizo hili

Ugonjwa huu unatibika.

Maoni