Vjinywaji salama kwa mwenye kisukari ni kama:-
- Maji
- Chai isiyo na sukari
- Kahawa isiyowekewa sukari ama kunywewa na vitu vitamu kama kashata
- Juisi ya tomato (nyanya) ama tango, pia isiwe kwa wingi
- Vinywaji vya wanamichezo ambavyo havikuwekewa sukari
- Baadhi ya vinywaji vingine visivyo na wanga
- Juisi ya mbogamboga
Maoni